mary kihanga
Member
- Nov 20, 2014
- 18
- 2
Wanaume ni sheeda ila mm sijui kama wanaweza kuvumilia ata mwezi kwnye 100 ni 1
Hatujaoana ni just a boyfriend hata mwezi hatuna anakaa kwake na mimi nakaa kwetu , so katikati ya week ni kila mtu anafanya ishu zake meeting ni weekend coz wote ni wafanyakazi sasa hiyo katikati ya week ni shida kwake
U r rightPole kuna tatizo chukua hatua mapenzi ni zaidi ya sexy hakuna mwanaume wa kawaida aliyo na tabia hiyo
Reminds you ukiendelea hapo bila ufumbuzi unaweza zaa tatizo lingine kwako..
swali. anakupiga bao ngapi kwa siku? baunsa wa kike
Mwanaume wako ni boya na wew pia nimegundua auna akili
Mwanaume wako ni boya na wew pia nimegundua auna akili
kwa mwanaume aliyekamilika baada ya masaa 48 yupo tayari kwa game nyingine tena isiwe ya mchangani iwe ya laliga kabisa
huyu wako ana tatizo la punyeto na akili kashaiset mpeleke hospital apate ushauri basi
akiendelea badae atashindwa kuona utamu wa papuchi yako
Hapo Ni Jinsi Wewe Unavyoweza Kuukotroo Mwili Wako, Maana Mwili Umeumbwa Kwa Tamaa, Mwingine Anasema Hawezi Kulala Bila Kunywa Pombe Mwingine Hawezi Akakaa Wiki Bila Kufanya Mapenzi, Sasa Kwa Taarifa Yako Mimi Niko Nje Ya Mke Wangu Mwezi Wapili Huu Kibiashala, Na Sina Mpango Wa Kumsaliti, Sio Kwamba Sitamani! Bali Nazishinda Tamaa Za Mwili.
Mbili tu
Si kweli binasfi mi nimzima kabisaa nini miezi sita sijakutana na mwanamke,uyo jamaa yako sio
Sio kweli kwamba anakuwa na hamu ambayo haizuiliki ila kama ulivyosema yuko addicted na punyeto,na hamu yake ni ..nyeto na wala sio mwanamke,maana akishakuwa addicted na hiyo issue mwanamke anakuwa sio mtamu tena,ok?
Hatujaoana ni just a boyfriend hata mwezi hatuna anakaa kwake na mimi nakaa kwetu , so katikati ya week ni kila mtu anafanya ishu zake meeting ni weekend coz wote ni wafanyakazi sasa hiyo katikati ya week ni shida kwake
We ni Baunsa wa kike anakuogopa.
Sijaelewa kitu... Umesema itakuwaje ukiwa period au ukijiunga...mama baunsa unamaanisha nini.
I mean kama wanaume mnashindwa uvumilia kabisa je mkeo akiwa period au akijifngua mnafanyaje? au ndio masturbation ina take place? nataka nijue kama wote wapo hivo
Hapana wanaume hatuko hivo huyo wakwako atakua bado mvulana akiwa mwanaume ataacha
abare ndo iyo baunsa haha