Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,840
Duh!!hiyo kweli kiboko
puli sana tuBoyfriend mpya........orait..... .ukinihakikishia kwamba umehakikisha anapiga puli..........
Nakupa jibu tena kidaktari.......kwamba anaweza au hawezi...........
Dr Preta.........
aaah doktaa😀😀😀😀
Au ukijiunga nini? Sijakusoma.
kama demu mnyimi je?
Kujifungua kasharekebisha.
Ila mwanaume kama uko fiti vizuri huna stress na mambo mengine yakubughudhi akili,ukawa unakula vizuri na kulala vizuri,mzigo unapigika vizuri tu tena kila siku na kwa kiwango bora kabisa.
Yote haya yanatakiwa yaambatane na mwili unaojengwa vizuri na mazoezi yakutosha.ila nivizuri kujipa mapumziko ambayo yataboresha vyema afya yako.
Ndo mieee.......unataka tiba.........
Ommy dimpozi kakaa miezi kumi bila kungonoka
Mwanaume wako ni boya na wew pia nimegundua auna akiliHabari wana jamvi,
Eti naomba kuuliza ni muda gani mwanaume anaweza kuishi bila kufanya mapenzi? Sababu iliyonipelekea kuuliza hivi ni kwamba, nina huyu boyfriend mpya yeye anasema hawezi kukaa wiki bila kufanya ngono na hii imempelekea yeye kua addicted na kujichua.
Ambapo kwa siku anaweza afanye punyeto mara mbili ili kuepukana kua na wasichana wengi pamoja na kuogopa magonjwa nakutulizahaja zake na kwamba kwa fano akisex tu akipita masaa 72 anakuwa na hamu ambayo haizuiliki.
Hivi ni kweli au huyu mtu anapepo la ngono kwa sababu napata picha kama nikiwa period au nikijiunga si ndio uzaledo utamshinda kabisa.
Naomba maoni na ushauri wenu
Mwanaume wako ni boya na wew pia nimegundua auna akili