Eti mi sio mtoto wa baba

Eti mi sio mtoto wa baba

kamati

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
240
Reaction score
109
jamani ndugu zangu wana jf naombeni ushaur mimi naishi na wazazi wangu wawili ila huwa ninatoka kwa ajili ya shule sasa tatizo linakuja nacikia kuna uvumi eti kuwa mimi cio mtoto wa baba wanasema eti cifanani nae but nafanana na mama sababu ya pili wanasema eti mama aliolewa ana mimba yangu kwa sababu nilizaliwa before 9months inafikia hatua baba yangu anaishiwa amani na ananipa pesa hana amani nimejaribu kumuuliza mama amedai eti mi mtoto wa baba na mpaka sasa ni miaka 23 jamani nisaidien ushaur sina amani kabisa naish bila raha kabisa
 
Waambie wazazi wako mkaangalie DNA.Hii itakuongezea mawazo au kukupunguzia
 
Kwanza kabisa umeandika kwa vifupisho vya facebook ambavyo hapo jf haviruhusiwi. Kuhusu ushauri ni kuwa kwa umri uliofikia inawezekana kabisa humheshimu baba yako au kuna tabia ambazo baba hapendi maana mtoto mpumbavu ni mzigo wa mama. Tafadhali acha kabisa kuwaza ya kuwa huyo si babako ila angalia tabia yako na linganisha na ndugu zako ambao hupendwa na babako.
 
mama ndo anajua siri ya mtoto,kwani we unajua wazazi wako walianza lini mapenzi?
 
Miaka 23 we mtu mzima bhana jifanye hujui na wazazi wasishtuke au usije kuwagombanisha maana baada ya mda mfupi kama ni mtoto wa kiume utaoa na utaenda kwako,kama mtoto wa kike unaweza olewa pia,la msingi potezea kama hujui na usipende wazazi wako wajue kama umejua utata huo,kama ni kweli washaoana na kuishi pamoja kwa mda,usiwe chanzo cha kuwagombanisha wakati mwenyewe ushakuwa mtu mzima aliyefikia umri wa kujitegemea.
 
Akija mtu akakwambia huyo sio baba yako mng'ang'anie usikubali lumuachia mpaka akupeleke/ akuonyeshe baba yako ili ukomeshe huo upuuzi
 
DU!miaka 23,Weka msimamo na fikira zako! Zisiwe negative kwa baba au mama! Mwenye kujua Siri hiyo ni MAMA!tu,,!! Kuwa karibu na baba yako sana kuwa muwazi kuhusu malengo yako!kwake!!
 
hata ungepewa ushauri gani hapa,wewe na baba yako hamtakaa mpate amani kwa hli yani hi ishakuwa doa la moyoni na mtalitibu tu kwa kujua ukweli.utaujuaje kwa kupima DNA.
 
Hakuna mtu anyechagua azaliwe na baba yupi wala mama yupi. huna haja ya kuumia kuhusu nani ni baba yako isipokuwa famahu kuwa binadamu wote ni ndugu kwa kuwa tumetokana na baba yetu Adamu na mama yetu Hawa.
 
jamani ndugu zangu wana jf naombeni ushaur mimi naishi na wazazi wangu wawili ila huwa ninatoka kwa ajili ya shule sasa tatizo linakuja nacikia kuna uvumi eti kuwa mimi cio mtoto wa baba wanasema eti cifanani nae but nafanana na mama sababu ya pili wanasema eti mama aliolewa ana mimba yangu kwa sababu nilizaliwa before 9months inafikia hatua baba yangu anaishiwa amani na ananipa pesa hana amani nimejaribu kumuuliza mama amedai eti mi mtoto wa baba na mpaka sasa ni miaka 23 jamani nisaidien ushaur sina amani kabisa naish bila raha kabisa

Pole....
Sasa mama yako hata kama aliolewa na mimba haiwez ikawa ya baba yako?
Au walikutana leo halafu kesho ndo wakafunga ndoa?
Utakayemsikia anaongea hiyo kauli mng'ang'anie mpaka akuonyeshe huyo baba yako.
 
Back
Top Bottom