MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
Sasa mkuu mdukuzi wewe unadhani kwa libeneke kama hili #BK iendelee kubaki kweli? kwani #BK yenyewe haijipendi..... yani hapo inatoka taratiiibu mpaka mwisho kisha mambo yanakuwa manu manu (mpaka kariakoo) kama kawa. Chezea kazi ya #jeshikuna binti amemaliza form six mwaka huu alimwambia mshikaji kuwa no game mpaka waanze chuo, na siku zote alikuwa anamwambia mshikaji kuwa ni bikra.
Sasa tarehe za chuo zimekaribia binti anadai anahisi bikra yake ilitoka kule jeshini sababu ya mazoezi na kazi ngumu kwani alitoka damu sana.
Hii imekaaje.
Attachments
Last edited by a moderator: