Shosti huyu dada ajieleze tu ni aina gani ya mazoezi alifanyiwa
Meonaeeee
hayo mazoezi alikuwa anafanya uchi ndio maana bikira imetoka
Hii imekaaje.
mazoezi ni sababu mojawapo ya bikira kutoka huo ni ukweli.
Pia kwa kuwa hawajaoana huyo jamaa kama ana wasiwasi naye amwache kwa amani kuliko kumchukua huku
akiwa hajiamini itawaletea shida mbeleni.
kwani wewe umesoma wapi kuwa jamaa anataka kumuoa huyo binti?...na mara ya mwisho hii iaka ya elfu mbili na kumi na nne umesikia nani anaowa?...
Na wewe unayemjua bikira aliyeolewa miaka ya kuanzia elfu mbili ni nani...mtaje apate tuzo...angalizo...isiwe bikra ya mk*&%$$&ndu maana hizo ndio zinaishilia sasa.
Back to the topic....dogo acha aibiwe ila kama mie ndio yeye ningemwomba aniweke sehemu yenye bikra ngumu kutoka kwa mazoezi...ishu sinihiyo bikra tuuu?
huyo kazidisha, labda sababu anamdanganya mtoto mwenzie.
Speaking fro.m experience, sikuwahi kutokwa damu siku ya kwanza ila bikira ya ukweli itajulikana tu utokwe damu au usitokwe.
Hata hivyo sijawahi kuona damu inanitoka kabla eti kuashiria kuwa ndo imetoka sijui kwenye mazoezi au michezo.
ila mbona nasikia zamani ukioa mwanamke bikra wanaweka shuka jeupe kama hamna damu wanajua hapa tumeliwa shuka likilowa damu wanajua hapa binti kajitunza au hujawahi kusikia hizo stori,sijui lakini wewe ndio mwanamke utwambiehuyo kazidisha, labda sababu anamdanganya mtoto mwenzie.
Speaking fro.m experience, sikuwahi kutokwa damu siku ya kwanza ila bikira ya ukweli itajulikana tu utokwe damu au usitokwe.
Hata hivyo sijawahi kuona damu inanitoka kabla eti kuashiria kuwa ndo imetoka sijui kwenye mazoezi au michezo.
mi nadani damu lazima itoke kiasi gani sijui wadada watwambie
Aweke ya kichina