strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Hahahaha mbwa kala mbwa
hayo mazoezi alikuwa anafanya uchi ndio maana bikira imetoka
Mkuu na wewe ni great thinker?
Mazoezi ni sababu mojawapo ya bikira kutoka huo ni ukweli.
Pia kwa kuwa hawajaoana huyo jamaa kama ana wasiwasi naye amwache kwa amani kuliko kumchukua huku
akiwa hajiamini itawaletea shida mbeleni.
ehehehe
nikuulize wewe mke wangu
kuna kabinti kamemaliza form six mwaka huu kalimwambia mshikaji kuwa no game mpaka waanze chuo, na siku zote kalikuwa kanamwambia mshkaji kuwa ni bikra.sasa tarehe za chuo zimekaribia binti anadai anahisi bikra yake ilitoka kule jeshini sababu ya mazoezi na kazi ngumu kwani alitoka damu sana,hii imekaaje
wewe nimekusoma kabisa inawezekana hakuwa nayo sasa anajihami ili siku ya siku aseme senikkwambia kuhusu kule jeshiniKwanza kweli alikwenda na bikira yake huko jkt? Na bikira ni kutoka damu Tu? alijuaje kama damu inayotoka ni ya bikira na siyo ya mzunguko wa mwezi, huwa inatokea mwanamke Mara moja moja kutoka damu mfululizo tofauti na alivyokuwa anapata miezi mingine, na kama suala la yeye kutoka damu haliondoi uhalisia wa yeye kuwa hajawahi kuingiliwa ladha itabaki ileile maumivu atayaona kama kawaida, ila niangalia kwa jicho la tatu kwa nini anatolea ufafanuzi wa bikra yake kabla hajakutana inakuwa kama anajihami mapema kama ukikuta shimo atakwambi si umeona bikra ilishatoka, mkimbie maana hana ukweli