mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,973
kuna binti amemaliza form six mwaka huu alimwambia mshikaji kuwa no game mpaka waanze chuo, na siku zote alikuwa anamwambia mshikaji kuwa ni bikra.
Sasa tarehe za chuo zimekaribia binti anadai anahisi bikra yake ilitoka kule jeshini sababu ya mazoezi na kazi ngumu kwani alitoka damu sana.
Hii imekaaje.
Sasa tarehe za chuo zimekaribia binti anadai anahisi bikra yake ilitoka kule jeshini sababu ya mazoezi na kazi ngumu kwani alitoka damu sana.
Hii imekaaje.