Mkuu inaonekana huu mkakati wako wakuibua madudu ya wanafunzi ni endelefu hongera yako na usirudi nyuma ,ila usije anza kupokea rushwa kama hizo hapo kwenye picha.
Maana hao watoto usikute hawana kosa kumbe Walimu wao wamewafelisha kwa kudai rushwa na watoto kugoma kutoa!
Maana picha huacha maswali mengi bila majibu !
Chakaza hapo ulipo agiza mbili za fasta kishapo mwambie mhudumu anipigieKama hawa?
View attachment 192038
hahahaaaaaaaaaa,wanafurahia div 5 kwa kucheza ngwasumaKama hawa?
View attachment 192038
mshana jr umeniponza mkuu wangu! Nimeagiza tena kwa matambo "we muhujumu! Leta Kinana mbili bariiid sana bili kwa bosi wangu mshana jr ebo!" Sasa namwambia akupigie kasema not richabo, nifanyeje sasa na nimeagiza kwa mbwembwe? Tena badala ya kusema Ndovu nimesema Kinana ahh! Kweli majanga. "muhujumu" mwenyewe kavaa kama huyu hivyo nadhani itikadi yake lazima atakuwa kakasirika jinsi nilivyoitaja hiyo bia.Chakaza hapo ulipo agiza mbili za fasta kishapo mwambie mhudumu anipigie

mshana jr umeniponza mkuu wangu! Nimeagiza tena kwa matambo "we muhujumu! Leta Kinana mbili bariiid sana bili kwa bosi wangu mshana jr ebo!" Sasa namwambia akupigie kasema not richabo, nifanyeje sasa na nimeagiza kwa mbwembwe? Tena badala ya kusema Ndovu nimesema Kinana ahh! Kweli majanga. "muhujumu" mwenyewe kavaa kama huyu hivyo nadhani itikadi yake lazima atakuwa kakasirika jinsi nilivyoitaja hiyo bia.
View attachment 192144