Ndani ya ndege ile walikuwemo wafanyakazi 20 wa naofanyia kampuni ya Freescale ambayo hujihusisha na software engineering and cyberwarfare,kampuni hiyo ni ya kimarekani na kina bush wako na hisa mle.
Hao wafanyakazi asilimia kubwa miongoni mwao walikuwa ni wenye asili ya kichina.
Hiyo kampuni ya freescale ilikua inafanyia kazi software fulani ambayo ingeweza kuwa na uwezo wa kuingilia rada za kijeshi na kuzimanipulate kwahiyo ilikua ni hotcake kwamambo ya usalama.
Inasemwa yaweza kuwa hao wafanyakazi walitaka kwenda kuuza technology hiyo china kwahiyo ilibidi wazuiwe kwa hali na mali kukanyaga ardhi ya china.kundi la watu kama hao ingekua ngumu kuwamaliza kwa risasi,ikabidi itengenezwe ajali.
Nimesoma sehemu nikipata link ntaiweka.