FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Kama hawakumpata aliyeuawa Ni nani?? Na kama Yupo kwanini hajajitokeza kujibu kua madai ya marekani??
Alikufa zamani sana kabla ya Wamerekani kujidai eti wamempata wamemuuwa.
Kama hawakumpata aliyeuawa Ni nani?? Na kama Yupo kwanini hajajitokeza kujibu kua madai ya marekani??
Alikufa zamani sana kabla ya Wamerekani kujidai eti wamempata wamemuuwa.
Na kama alikufa zaman Kwann familia yake au alqaida haikusimama kupinga Habar ya marekan?
Wajinga ndio waliwao! Osama hakukamatwa na wamarekani. Tukio lilitengenezwa ili Obama apite kwenye uchaguzi!
Na kama alikufa zaman Kwann familia yake au alqaida haikusimama kupinga Habar ya marekan?
kuna mkono wa wamarekani kwenye upotevu wa ile ndege trust me
Ndani ya ndege ile walikuwemo wafanyakazi 20 wa naofanyia kampuni ya Freescale ambayo hujihusisha na software engineering and cyberwarfare,kampuni hiyo ni ya kimarekani na kina bush wako na hisa mle.
Hao wafanyakazi asilimia kubwa miongoni mwao walikuwa ni wenye asili ya kichina.
Hiyo kampuni ya freescale ilikua inafanyia kazi software fulani ambayo ingeweza kuwa na uwezo wa kuingilia rada za kijeshi na kuzimanipulate kwahiyo ilikua ni hotcake kwamambo ya usalama.
Inasemwa yaweza kuwa hao wafanyakazi walitaka kwenda kuuza technology hiyo china kwahiyo ilibidi wazuiwe kwa hali na mali kukanyaga ardhi ya china.kundi la watu kama hao ingekua ngumu kuwamaliza kwa risasi,ikabidi itengenezwe ajali.
Nimesoma sehemu nikipata link ntaiweka.
Waislaam wote ni ndugu.
Osama hakuwa gaidi, magaidi ni Wamerekani.
Na kama alikufa zaman Kwann familia yake au alqaida haikusimama kupinga Habar ya marekan?