Eti Marekani imeshindwa kuipata hii ndege

Ndani ya ndege ile walikuwemo wafanyakazi 20 wa naofanyia kampuni ya Freescale ambayo hujihusisha na software engineering and cyberwarfare,kampuni hiyo ni ya kimarekani na kina bush wako na hisa mle.
Hao wafanyakazi asilimia kubwa miongoni mwao walikuwa ni wenye asili ya kichina.
Hiyo kampuni ya freescale ilikua inafanyia kazi software fulani ambayo ingeweza kuwa na uwezo wa kuingilia rada za kijeshi na kuzimanipulate kwahiyo ilikua ni hotcake kwamambo ya usalama.
Inasemwa yaweza kuwa hao wafanyakazi walitaka kwenda kuuza technology hiyo china kwahiyo ilibidi wazuiwe kwa hali na mali kukanyaga ardhi ya china.kundi la watu kama hao ingekua ngumu kuwamaliza kwa risasi,ikabidi itengenezwe ajali.
Nimesoma sehemu nikipata link ntaiweka.

mh... natamani hiyo link
 
Kazi Kweli na hawa wamarekan wallah bora yule aliyekuwa kiboko yao angekuwepo kuendelea kuwadisplin....I mean osama

Mbona ameshapatikana mbabe wa marekani sasa hivi na obama amefunga domo ni valdimin Putin huyo
 
Osama alikufa zaman baada ya kuugua ila serikali ya marekani ilichofanya baada ya kujiridhisha kuwa jamaa hayupo tena dunian walitengeneza mazingira ya uongo kuondoa aibu ya kushindwa kumkamata pamoja na kutumika kwa nguvu zao zote na kuua raia wengi wasio na hatia
Mkikaa misikitini na kwenye vijiwe vya kahawa ndio muwe mnatiana ujinga huu.
 
Ndani ya ndege ile walikuwemo wafanyakazi 20 wa naofanyia kampuni ya Freescale ambayo hujihusisha na software engineering and cyberwarfare,kampuni hiyo ni ya kimarekani na kina bush wako na hisa mle.
Hao wafanyakazi asilimia kubwa miongoni mwao walikuwa ni wenye asili ya kichina.
Hiyo kampuni ya freescale ilikua inafanyia kazi software fulani ambayo ingeweza kuwa na uwezo wa kuingilia rada za kijeshi na kuzimanipulate kwahiyo ilikua ni hotcake kwamambo ya usalama.
Inasemwa yaweza kuwa hao wafanyakazi walitaka kwenda kuuza technology hiyo china kwahiyo ilibidi wazuiwe kwa hali na mali kukanyaga ardhi ya china.kundi la watu kama hao ingekua ngumu kuwamaliza kwa risasi,ikabidi itengenezwe ajali.
Nimesoma sehemu nikipata link ntaiweka.

It is possible.Leta link hiyo Kamanda...
 
kama kuna kaukweli fulani hiviiii :hat:
 
Kama iliandika Osama basi ni Osama nami ndio nilikosea.

Narekebisha; Nani waliokudanganya kuwa wamempata Osama?
Kama hawakumpata aliyeuawa Ni nani?? Na kama Yupo kwanini hajajitokeza kujibu kua madai ya marekani??
 
Back
Top Bottom