Eti madada na hili nawasingizia?

Eti madada na hili nawasingizia?

Hahahah mi mwenyewe nlizaliwa kwa mafungu. Birthday ya January nasherehekea na Ntuzu, May na Asprin,novemba ndo naalika kina ICHANA Vaislay Mafikizolo kina Heaven Sent

Hahahaha utatia akili nakwambia, sibebi hata pipi. Kisa cha kutuchosha na birthday zako za mafungu, tuwe tunakuletea tu zawadi looooh. Afu nikuulize hivi utakufa hivyo hivyo kwa mafungu tena au?
 
Last edited by a moderator:
haa haa sasa mnataka wafanye ujambawazi?

sometimes inakuwa too much.hasa kwenye shopping...mtu anachagua "a pair of bras that cost 50,000/="..........and you wonder if they are long sleeved....!!!
 
Hahahaha utatia akili nakwambia, sibebi hata pipi. Kisa cha kutuchosha na birthday zako za mafungu, tuwe tunakuletea tu zawadi looooh. Afu nikuulize hivi utakufa hivyo hivyo kwa mafungu tena au?

Hahahahah....wee naeee..asa kwa nini unaongea habari za kufa? Utanifanya nibadili staili yangu ya maisha wakat mimi naipenda
 
Hahahahah....wee naeee..asa kwa nini unaongea habari za kufa? Utanifanya nibadili staili yangu ya maisha wakat mimi naipenda

Hahaha hata usibadili style yako. Ndo vizuri ufe kwa mafungu, huoni rambi rambi kuwa zitakuwa nyingi, si unapenda kuchangiwa eeh?
 
Back
Top Bottom