Eti madada na hili nawasingizia au

Eti madada na hili nawasingizia au

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
11,471
Reaction score
31,634
WANAITWA WANAWAKE
Ile style yenu ya Bebi naomba Laki 3 nna shida ntakurudishia after 1 week ilifeli..Ikaja ya Baby naomba Laki 1 ya Saluni nayo ime-expire...SASA MNA STYLE MUPYAAAA,Bado inanukia Upya kama Telegram...

Unakutana na demu,baada ya Wiki 2 anakwambia Birthday yake imekaribia na Hana Hela..Ukimuuliza lini Bday yako anakwambia This Weekend Baby..Unamwambia sawa.Ukizingatia ndo mmeanza-anza hata uvungu hujapewa,kila kitu unajibu Yes kama Questionnaire ya uchumba.

Profile yake ya Facebook inaonyesha Birthday yake ni November 22....Birthday aliyokupiga mzinga ni February 15..Sasa unajiuliza huyu mwenzetu ana Birthday 2 kwa Mwaka??
Na ukimpa hiyo hela hata Birthday hutaalikwa,utaambiwa tu Baby,Ndo naenda kwenye Birthday tunafanyia huku kwa Bamkubwa huku Mbagala majimatitu kwa dumbalume karibu na kinyerezi hapo hapo posta ya zamani feri,tuko na shangazi yangu wa Hombolo na Wajomba zangu wale wa MBINGA wamekuja...Ukitajiwa Bamkubwa hutakuwa na hamu hata ya kwenda.MZINGA SUCCESSFUL..
Na huo mzinga wa Birthday anakuwa kawatumia MSG Wanaume kama 20 hivi,10 wakimpa hata utwente flani,tayari ana laki 2,unashangaa demu hana kazi,ndo anasubiria majibu ya Form 6 lakini ana Note 3 mpya na ipad, appointment zote anakuja na bajaji au texi. we unakazana kunyonga tai kurukia DCM za Keko deile na kikwapa juu na mshahara wako wa benki au kwa muhindi bindallu una Nokia Asha button zimechokaaaaaa
ENDELEENI KUTUKOMESHA TU KWANI NINI BHANA,,,,,,
Demu una Birthday 3 kwa mwaka?mi nakuchora tu,au mwenzetu ulizaliwa kwa mafungu,February Kichwa...June Kiwiliwili...November Miguu"
 
Mnakopy sana tatizo, hi makitu tayari imeshawekwa humu
 
Back
Top Bottom