Eti lini ndio hiyo official announcement ya TCU?

Nazani tarehe za wiki ijayo kama sio ishirini na saba ishirini na sita kitu itakua aut
 
Hawatoi leo, hawatoi kesho, hawatoi keshokutwa wala mtondogoo! Hawatoi mchana, hawatoi ucku, hawatoi jioni wala majogoo! Kila wk wanawalazimisha watu warudie kuapply wakat wanajua hawana sifa. Labda mpaka wafike round Z ndiyo selection zitatoka.
 
------ ww....basi kumbe watatoa,unakurupuka na kuandika ushenzi umu ili ukatishr watu tamaa´......mxiiiiii
 
Mi nadhani si leo wala kesho. Ofisi ya tcu kabaki secretary tu. Nothing is going on there.
 
Nashawishika kuamini kuwa itakua baada ya mwezi huu ili yatoke kwa pamoja na wanaoomba sasa.
 
Back
Top Bottom