Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,162
- 701
Huyo ni paka Kama paka wengineHata diamond ni Simba vilevile!
Sio kejeli kwa mwanamke, ni kejeli kwa simba.sasa mwanamke kuwa katika hedhi Ni kejeli?.
Bila mama yako kuwa na hedhi wewe usingezaliwa.
Sio kejeli kwa mwanamke, ni kejeli kwa simba.
Yaani hapo waungwana wameifananisha simba sawa uchafu.
Yaani huu msemo unanipa ukakasi kichizi yani! Leo Simba Anacheza ndo maana yake uko period??? Eti unableed. Really? Kisa damu nyekundu?
Aaahhh tuachane na huu msemo bhana
Huyu simba kaleta balaaKuna ile mvua inanyesha huku jua linawaka na inasemwa simba anazaa unaijua?
Originally huu usemi ulitakiwa kumaanisha hivyo kwamba ni kubichi kukavu, sawasawa?
Yaani kuna ubichi ila sehemu kavu ukiitaka ipo. Sijui mnanielewa hapo?
Kwahiyo hii ilikua ni tafsida ya kuomba jicho na tafsida ya binti kusema nipo mwezini ila jicho lipo kwa enzi hizo kabla ya kila mtu kuuvamia huu usemi.
Au nasema uongo ndugu zangu?