Eti "Leo Simba Anacheza" ndo tafsida ya Mwanamke kuwa katika Hedhi, Hii sio kejeli kweli?

Yaani huu msemo unanipa ukakasi kichizi yani! Leo Simba Anacheza ndo maana yake uko period??? Eti unableed. Really? Kisa damu nyekundu?

Aaahhh tuachane na huu msemo bhana

Na Yanga ikicheza inasemwaje, mtu anajisaidia haja kubwa???!!

Haja kubwa ni rangi ya njano 🤣

Eeee, Si nyie ndio mmeanza kashfa!!.
 
Haha niliisikia tokea zamani sana hio kuna jamaa alikua anauliza binti "vipi leo wekundu wa msimbazi wanapasha"
 
Kuna ile mvua inanyesha huku jua linawaka na inasemwa simba anazaa unaijua?

Originally huu usemi ulitakiwa kumaanisha hivyo kwamba ni kubichi kukavu, sawasawa?

Yaani kuna ubichi ila sehemu kavu ukiitaka ipo. Sijui mnanielewa hapo?

Kwahiyo hii ilikua ni tafsida ya kuomba jicho na tafsida ya binti kusema nipo mwezini ila jicho lipo kwa enzi hizo kabla ya kila mtu kuuvamia huu usemi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Huyu simba kaleta balaa
 
IMG-20210113-WA0006.jpg
 
Ningekua mimi ningemkataza tu wife asiutumie. Nadhani hautausikia pengine popote.

Au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom