TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,964
- 19,177
nilishajibu, sema huna imani, she is here with me............ the first lady wangu aiseeHujajibu ni mamsapu yupi? Kama ni yule wa juzi basi anakuongopea.
!
ila babu unapoelekea siko
nilishajibu, sema huna imani, she is here with me............ the first lady wangu aiseeHujajibu ni mamsapu yupi? Kama ni yule wa juzi basi anakuongopea.
!
Hahahahah.......mpwa yale matoilet ya Tandale lazima uteme mate wakati unamwaga mkojo wa brown!
Umri huu mate, kila nayemtongoza naambiwa anaogopa nisijefia kifuani mwake.......... kilichobaki ni kuharibiana tu!nilishajibu, sema huna imani, she is here with me............ the first lady wangu aisee
ila babu unapoelekea siko
Hahahaha........ Ila Tip Top si mbaya kiviiiile.Hahahaha yale unapo oga tu unatema mate
Sasa wanapo kunya je si ndo wanatapika kabisa
Mwamuonea ODM bure, mie nimeuliza tu wajameni......kasome vizuri sredi bana.
Afu BTW kuachia kaushuzi kumbe ni noma? Hahahah.........mi hakuwa hapana kujua!
Shem ahsante...... kukuona u salama, kwangu mie ni furaha!!Good morning Shem... Mie napita kukutakia Weekend njema... na woote wataopita hapa leo....
Hahahahaha......we mtoto wewe khaa! Hiyu David Cameroon mbona atazua mengi? Unataka kuwasaga kina Cantalisia au?Sasa babu, mbona mie baada ya kitendoi tajwa huwa natema mate (kama behind ze door hakuna tangazo la 'usiteme mate sakafuni'), au inawezekana mie ni mwanaume?
Sasa wanapo kunya je si ndo wanatapika kabisa
:smash: maswali yamezidi masuala. babu,wknd njema, toka kitandani uone mema ya nchi
Shem ahsante...... kukuona u salama, kwangu mie ni furaha!!
Hahahahaha......we mtoto wewe khaa! Hiyu David Cameroon mbona atazua mengi? Unataka kuwasaga kina Cantalisia au?
mmh....babu hana macho kumbuka...