Eti..... Kwanini tunafanya hivi?

Eti..... Kwanini tunafanya hivi?

Shem na hilo ndo lilifanya nisitoe hasira.... lol... Imagine maneno ningeporomosha ingekua sio Darling shem kapost hii research! lol
Hahahaa.......... sasa uporomoshe kisa kuachia ushuzi? Hivi kutoa hewa chafu nako kumbe nongwa?
 
Kheeeee! Jamani si nimeuliza tu wajameni? Mbona kina mama memekuwa wakare namuna hii? Nimeuriza hivi ni razima muachie kaushudhi? Thijathema LAZIMA lol!
Ukali lzm lol,Babu sijawahi sikia kitu km hicho babu asa huo ulazima au hakuna ulazima unatoka wapi?
Ww umejuaje kuna kitu km hicho babu?
 
Mwamuonea ODM bure, mie nimeuliza tu wajameni......kasome vizuri sredi bana.

Afu BTW kuachia kaushuzi kumbe ni noma? Hahahah.........mi hakuwa hapana kujua!
 
eMimi naomba nitoe angalizo langu kuhusu hili kivingine,muda wote niliowafahamu wanawake kadhaa sijawahi kusikia wakiachia ushuz in public mara nyingi ni sisi wanaume ndio tunachafua hali ya hewa.Kama wanapunguza pressure wakiwa toilet naona ni ubunifu mzuri na wakuigwa na wanaume pia.
Kwa kweli sijawahi kuchunguza kwa undani na sidhani kama kila mwanamke aendapo chooni anafanya hivo ila kama average itakua juu basi maelezo haya ni mwanzo wa jibu. Kumbukeni wanawake wanajitahidi sana kuonekana 'perfect' kwenye maswala kama haya na wamedevelop naturaly uwezo wa kujibana kwa muda mrefu kuliko wanaume. Hivo basi akipata nafasi ya kujiachia anachukulia opportunity.
Mbona sasa wanaume hawatoi maoni yao kuhuzu kutema mate? kwa experience yangu (ndogo) sijawahi shuhudia kitu hiki.
 
Hilo ndo linanipa wasi wasi kua yawezekana kwa wanaume ni kweli....
 
.....

Kwa wanaume kutema mate, hilo nimeshashuhudia mara nyingi. Na hasa wanapojisaidia haja ndogo not at toilet. Ni kautamaduni kalikozoeleka tu. Na sio lazima ndio maana hutema mara chache wanapokuwa toilet.

.
 
'Hakunaga' babu. Inshort ni kwamba unazeeka vibaya.
Wee kasichana, hebu msome huyu great thinker hapa chini.....

Kwa kweli sijawahi kuchunguza kwa undani na sidhani kama kila mwanamke aendapo chooni anafanya hivo ila kama average itakua juu basi maelezo haya ni mwanzo wa jibu. Kumbukeni wanawake wanajitahidi sana kuonekana 'perfect' kwenye maswala kama haya na wamedevelop naturaly uwezo wa kujibana kwa muda mrefu kuliko wanaume. Hivo basi akipata nafasi ya kujiachia anachukulia opportunity.
Mbona sasa wanaume hawatoi maoni yao kuhuzu kutema mate? kwa experience yangu (ndogo) sijawahi shuhudia kitu hiki.
 
Hilo ndo linanipa wasi wasi kua yawezekana kwa wanaume ni kweli....
Shem, msome huyu great thinker hapa chini ili uamini kautafiti kangu kana kaukweli........

Kwa wanaume kutema mate, hilo nimeshashuhudia mara nyingi. Na hasa wanapojisaidia haja ndogo not at toilet. Ni kautamaduni kalikozoeleka tu. Na sio lazima ndio maana hutema mara chache wanapokuwa toilet.

.
 
Si masihara, afu haka kawikiendi kameambatana na kasikukuu........... mapilau ya kumwaga!

Hapo tena.... Unauliza ndevu kwa Osama?? lol

Shem, msome huyu great thinker hapa chini ili uamini kautafiti kangu kana kaukweli........

Ukimya wao Uliashiria kua ni kweli... Tumshukuru tu Fillipo kajitokeza kuwakilisha....
 
Mwamuonea ODM bure, mie nimeuliza tu wajameni......kasome vizuri sredi bana.

Afu BTW kuachia kaushuzi kumbe ni noma? Hahahah.........mi hakuwa hapana kujua!

Kuachia ushuzi sio ishu babu tatizo huo wakati ulioutaja,ikanichanganya mpaka nikahisi wikiend haitakuwepo,
Babu lzm nichakachue mbona ww huwa unachakachua!
Babu kwan sikukuu lini?
 
hata kama ni ukweli sidhani kama mtu atakubali kama imemtokea
 
Oyaaaaaaaaa hapa tunadiskasheni mate na mkojo!

hata kama ni ukweli sidhani kama mtu atakubali kama imemtokea
Hahahaha.........kinyume chake kwenye huu myuziful sredi sijagongewa ka-Like hata kamoja........khaaa!
 
Na umri wangu huu huwa bado natatizwa. Labda wakuu mwaweza msaidia ODM kufumbua hili fumbo.

Eti ni kweli?

Wanaume wanapokojoa (haja ndogo) lazima wateme mate?
Wanawake wanapokojoa (haja ndogo) eti ni lazima waachie kaushuzi japo kiduchu?

Niko kitandani huku nasubiri mauzoefu yenu jamani, mie nimetatizwa:
Angalizo: Hakuna kucheka wala kuchakachua.

Baada ya kusema hayo, naomba niwatakieni wikiendi njema na sikukuu njema ya Eid el Haj........

Hapo kwenye red wanaume waliosoma boarding enzi hizo watakubaliana na mimi kuwa tulikuwa tunatema mate baada ya haja ndogo. Hii ilitokana na harufu mbaya sana ya vyoo hasa kwenye shule zilizokuwa na vyoo vinavyozibuliwa mara moja kwa mwezi kutumia mabaki ya maji yaliyoogewa na kuhifadhiwa kwenye kisima.

Kipindi cha ukame tulikuwa hatuogi zaidi ya kupiga tuu passport kutokana na uhaba wa maji so vyoo vilikuwa vitoa harufu mbaya kutokana na kutozibuliwa. Hapo ilikuwa lazima mtu mzima uteme mate tuu. Pia kuna baadhi ya vyoo vya uswahilini ni balaa tupu.
 
Nachofurahi wanaume wanaukiri huu ukweli, tatizo kwa watani zetu..........loooh! hawataki hata kutoa kauzoefu!
Siwashangai lakini hata kwenye kucheat huwa hawakiri kufanya hivyo......
Ashadii shem, niwie radhi, sina mpango wa kukuharibia weekend yako. Hapa ni Chit Chat LOL
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Similar Discussions

Back
Top Bottom