Eti..... Kwanini tunafanya hivi?

Oyaaaaaaaaa hapa tunadiskasheni mate na mkojo!

Hahahaha.........kinyume chake kwenye huu myuziful sredi sijagongewa ka-Like hata kamoja........khaaa!
Khaaa, nikajua utafurahia nikichakachua coz ww ndio bingwa wetu tunafuata nyao babu!
Kwakweli leo like utazimic sana hasa za wajukuu kwa huu uzi lol!
Babu Mie niko radhi kukugongea like km utakubali nawe huwa unatema mate kila unapokojoa!
 
Aspirin, nimepata shaka kidogo... Hivi utafitu huu liufanya kwa muda gani na kwa sample gani? Mi sioni shida kabisa kama mtu atafanya hivo hasa mtu mwenyewe akiwa chooni ila kwa kweli siwezi kusema kua it is a routinewakienda haja ndogo lazima hii itatokea... Nitaanza kuchunguza alafu nitakupa pasenteji.
However, however, however..... Nina wasiwasi research yako nzima sio kweli. Mbona hapajaonekana mwanamke hata mmoja mwenye kuthibitisha haya??? I dare you to bring us 5 of them washuhudie hapa!
 
Babu

Wanaume wanapokojoa mkojo; wa asubuhi ndio lazima wajambe kidogo

Wanawake wao kila wanapokojoa lazima wajambe kiduchu.............ni matokeo ya vyombo kujiachia!
 
Khaaaaa,ww mzee hii kali,kwanza hata km ni risechi ya hii kitu lzm ifanywe kwa obusaveshen mesod ili kupata data za ukweli,
Sasa ww hii kazi umeifanyia sayari gani na hao wanawake ni wa aina gani
Na ulitumia njia gani mpaka kuweza kuwachungulia na kusikia sauti ya huo ushuzi
Coz mie hilo halijawahi kunitokea wala sijawahi kusikia
Na nimeenda kukojoa sasa hiv ili kuona km itatokea haijatokea
Haki ya nani ww BABU sred yako imenichanganya naomba majibu tafadhali.

shida iko wapi? kama hujakutana na kitu kama hicho basi mwenzenu sample alizokusanya zimempa hayo majibu. huna haki ya kukataa kama hujui njia alizotumia
 
Hakutuambia njia aliyotumia wala hakutoa data ndio maana ni haki ya kukataa na ukizingatia mie km mwanamke haijawahi kunitokea napinga kwa nguvu zote,endelea kusoma comment wanawake wengi wanapinga inawezekana co lzm na co kweli!
 
Aspirin, nimepata shaka kidogo... Hivi utafitu huu liufanya kwa muda gani na kwa sample gani? Mi sioni shida kabisa kama mtu atafanya hivo hasa mtu mwenyewe akiwa chooni ila kwa kweli siwezi kusema kua it is a routinewakienda haja ndogo lazima hii itatokea... Nitaanza kuchunguza alafu nitakupa pasenteji.
However, however, however..... Nina wasiwasi research yako nzima sio kweli. Mbona hapajaonekana mwanamke hata mmoja mwenye kuthibitisha haya??? I dare you to bring us 5 of them washuhudie hapa!
Hivi RR nikisema wanawake wengi si waaminifu katika mahusiano yao, kuna hata mmoja hapa JF atakayekiri? Wote watapinga....... hakuna watu wasiokubali kuukiri hali halisi hasa inayoelekea kwenye upande hasi kama wanawake....hili naweza kuapa.

Huyo ndo babu Asipirini..., Vp mwenzetu uzee ushaanza kula nyayo nini.. teh teh..
Umri ushaenda mkuu, tushalamba magunia kazaa ya chumvi (ya kupikia, siyo ile nyingine)

Babu

Wanaume wanapokojoa mkojo; wa asubuhi ndio lazima wajambe kidogo

Wanawake wao kila wanapokojoa lazima wajambe kiduchu.............ni matokeo ya vyombo kujiachia!
Sema weye dume mwenzangu, nikisema mimi wanasema babu mzushi, nshazeeka!
hehehe kama hauna kalenda nyumbani wewe angalia sredi za fellow tablet tu lazima utajua lini ni ijumaa.
Hahahaha, tena ijumaa yenyewe iwe inaelekea kwenye sikukuu ya kula pilau..........
 
shida iko wapi? kama hujakutana na kitu kama hicho basi mwenzenu sample alizokusanya zimempa hayo majibu. huna haki ya kukataa kama hujui njia alizotumia
Baeleze mkuu, baambie hao!

Huwa unamchungulia mama nonino akikojoa? Kama c umbea nini? Mwone kwanza
Afu wewe! mwone kwanza.....uwe na heshima kwa bibi yako........ FYI mkubwa hajambi!

Hakutuambia njia aliyotumia wala hakutoa data ndio maana ni haki ya kukataa na ukizingatia mie km mwanamke haijawahi kunitokea napinga kwa nguvu zote,endelea kusoma comment wanawake wengi wanapinga inawezekana co lzm na co kweli!
Watu wabishi kama wewe ndo wepesi wa kuachia viushuzi.........:photo:
 
Na umri wangu huu huwa bado natatizwa. Labda wakuu mwaweza msaidia ODM kufumbua hili fumbo.

Eti ni kweli?

Wanaume wanapokojoa (haja ndogo) lazima wateme mate?
Wanawake wanapokojoa (haja ndogo) eti ni lazima waachie kaushuzi japo kiduchu?

Niko kitandani huku nasubiri mauzoefu yenu jamani, mie nimetatizwa:
Angalizo: Hakuna kucheka wala kuchakachua.

Baada ya kusema hayo, naomba niwatakieni wikiendi njema na sikukuu njema ya Eid el Haj........
age mate... kutema mate inategemea, sometimes unakua kwenye mazingira magumu, ila niko na shemejoyo hapa wichita, ananiambia si lazima kujamba wakati wa haja ndogo, inategemea mazingira, wakati na tabia... kwani mkeo huwa anajamba wakati wamkukojoa??
 
Hahahaha! Nimejikuta nacheka kwa sauti.......... Na ni shemeji yangu yupi aliye zamu leo?

Skhamoo babu..
Na kwaheri babu.......
Ahsante, nimeshaelewa!
 
Aspirin, nimepata shaka kidogo... Hivi utafitu huu liufanya kwa muda gani na kwa sample gani? Mi sioni shida kabisa kama mtu atafanya hivo hasa mtu mwenyewe akiwa chooni ila kwa kweli siwezi kusema kua it is a routinewakienda haja ndogo lazima hii itatokea... Nitaanza kuchunguza alafu nitakupa pasenteji.
However, however, however..... Nina wasiwasi research yako nzima sio kweli. Mbona hapajaonekana mwanamke hata mmoja mwenye kuthibitisha haya??? I dare you to bring us 5 of them washuhudie hapa!
RR,,,, you are daym right

Mamsapu wangu amekanusha vikali na kusema kwamba babu atakua alikula cha arusha bila kujijua, halafu akapata hallucination za kusikia sauti za vijambo
 
Hahahaha! Nimejikuta nacheka kwa sauti.......... Na ni shemeji yangu yupi aliye zamu leo?

Ahsante, nimeshaelewa!

Mama watoto wangu mwenyewe, tatizo lako kamanda umeanza kuwa kama wale yosso tuliowasepa kule kutokana na jungu.... au hujawahi kumtoa mama nje ya border nini?
 
RR,,,, you are daym right

Mamsapu wangu amekanusha vikali na kusema kwamba babu atakua alikula cha arusha bila kujijua, halafu akapata hallucination za kusikia sauti za vijambo
Hujajibu ni mamsapu yupi? Kama ni yule wa juzi basi anakuongopea.

Sasa wanapo kunya je si ndo wanatapika kabisa
Hahahahah.......mpwa yale matoilet ya Tandale lazima uteme mate wakati unamwaga mkojo wa brown!
 
Mama watoto wangu mwenyewe, tatizo lako kamanda umeanza kuwa kama wale yosso tuliowasepa kule kutokana na jungu.... au hujawahi kumtoa mama nje ya border nini?
Siku ntakapotoka na wife out, nadhani mwisho wa dunia utakuwa unakaribia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom