Eti kwani kuolewa lazima...?

Jiwe gizani naona linawaamsha wadada kutoka mapangoni kwa huu Uzi endelea kupata comments nyingi za wadada.
 
Hii ni forum ya mapenzi uhusiano sijui na mavitu gani mengine...hayo mkadiscuss education forum...msijikute wajuvi kwenye post nyingine mnaleta mambo yenu...mada imewagonga inawauma...
Mtoa uzi. Na wewe sekta ya kutoa povu haijakuacha salama. Hahhahhhahaahahh
 
NIMEKUBALI NILIFANYA UTAFITI...UKANIPOTEZA...NIMEJIFUNZA...

Turudi kwenye mada sasa kwa heshima na taadhima...
 
Ujumbe umekugusaaa...
Kama ulivyogusa wewe! Tumia kiswahili utaeleweka tu. Ila najaribu kupata picha nipo na mtu anajifanya mjuaji halafu anaongea hii maneno maana kama kuandika shida sipati picha kuongea. Nyie ndio mnafanya watu wasiolewe🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…