Eti kwani kuolewa lazima...?

Eti kwani kuolewa lazima...?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,649
Reaction score
4,756
*USISEME KUWA HAKUNA WANAUME WA KUKUOA...!*

BUT

```YOU ARE NOT ARE LOOKING LIKE YOU ARE A MARRIABLE WOMAN...How can you risk yourself at an expired product...assuming that ineffective...```

MOST OF US WANAUME...TUNAPOANGALIA A WIFE...HATUANGALIAGI MAUMBILE...TUNAANGALIA WATOTO TUTAKAOPATA WATAJIVUNIA KUWA NA MAMA BORA AMA...

*_Wengi wetu tunajaribu kuwaangalia baba zetu kama Raw Models kutokana na jinsi walivyo mpaka leo na mama zetu...na jinsi mama zetu walivyotulea vizuri...Ndio maana PONGEZI NA SHUKRAN NYINGI ZINAENDAGA KWA MAMA...BUT TUMSHUKURU SANA BABA KWA KUCHAGUA MWANAMKE SAHIHI...!_*

Endelea kuimba hivyo hivyo...eti sijaona mwanaume wa kunioa...kumbe wewe ndio huonekani kama MKE...

*UKIONA MWANAMKE ANAONGEA..."Kwani kuolewa lazima...?"....USIMSIKILIZE MUONGO HUYO...NI KWAMBA KESHAJIKATIA TAMAA HUYO...KUTOKANA NA KUCHEZEA WAKATI WAKE...SO HATAMANIKI...!*
 
Nimekupa Like kubwa kwa sababu umeandika wazo kubwa. Ila umeshindwa kulielezea vizuri. Ila umeeleweka sana na ujumbe umewafikia walengwa.
 
We jamaa kama lugha huijui si utumie kiswahili. Mbona nyuzi nyingi sana kuhusu ulichokisema humu zinaanzishwa na wanaume, kwani mnateseka?
Hahahah mimi nimemsikia mdada flan apa analalamika hayo nliyosema...
 
Kuna kipande king kiba alisemaga mwanamke akipenda basi kapenda kweli.(jipongeze umependwa kweli)
Kama nasahaulika kwenye vitu vidogo kama hivi ngoja nijiongeze.

[emoji124][emoji124][emoji124]Kiroho safi nitafanyaje tena[emoji20][emoji20]
Nimecheka sana, itabidi urudi lile chimbo tena.
 
We jamaa kama lugha huijui si utumie kiswahili. Mbona nyuzi nyingi sana kuhusu ulichokisema humu zinaanzishwa na wanaume, kwani mnateseka?
Ujumbe umekugusaaa...
 
Nirudi kwa mtoa mada. Siku nyingine unapoleta uzi hakikisha lugha iliyotumika ni sahihi 100℅ na kanuni za kiuandishi kufuatwa.

Vinginevyo huwa tunaweka mada pembeni harafu tunaanza kujadili makosa ya lugha na kiuandishi.
Yaani utatamani uzi uufute na bahati mbaya haiwezekani.
 
Back
Top Bottom