Eti kwani kuolewa lazima...?

Eti kwani kuolewa lazima...?

Yule akipigwa msasa na ras ananyoosha lugha manake tatizo lake kubwa ni your na you are

Ila huyu sijui itakuwaje

Jaribu kuangalia jinsi ya kumsaidia angalau apunguze.

Maana hata uandishi wa kiswahili nao sijauelewa.
 
Nirudi kwa mtoa mada. Siku nyingine unapoleta uzi hakikisha lugha iliyotumika ni sahihi 100℅ na kanuni za kiuandishi kufuatwa.

Vinginevyo huwa tunaweka mada pembeni harafu tunaanza kujadili makosa ya lugha na kiuandishi.
Yaani utatamani uzi uufute na bahati mbaya haiwezekani.
Kwani nimekuja kuomba kazi hapa...mpaka nikuandikie kama naandika inshaa...
 
We jamaa kama lugha huijui si utumie kiswahili. Mbona nyuzi nyingi sana kuhusu ulichokisema humu zinaanzishwa na wanaume, kwani mnateseka?

Ungemsahihisha labda anapenda kuandika lugha hiyo
 
JIWE LINAPORUSHWA GIZANI TENA SHIMONI...SIO PANYA NA KENGE TU WATATOTA...HATA NYOKA...ILA JIWE LIMERUSHWA...NA YALAAA...NIMEZISIKIA...
 
Kuna kipande king kiba alisemaga mwanamke akipenda basi kapenda kweli.(jipongeze umependwa kweli)
Kama nasahaulika kwenye vitu vidogo kama hivi ngoja nijiongeze.

[emoji124][emoji124][emoji124]Kiroho safi nitafanyaje tena[emoji20][emoji20]

Hii mbinu ya kama unajitoa kumbe upo, ukute ndiyo ile AWOL - Absent Without Leave unataka kunifanyia hapa.

joanah njoo uone troublemaker kajitoa rasmi.
 
Napenda sana watu wanaojiamini ila kama binadamu kuna kukosea
Nina uhakika na ninachokiongea...nililifanyia utafiti hili nikaona wengi kama wewe wanakosea jinsi inavyoandikwa...tofaut na wanavyotamka...
 
Wacha weee naona mambo ya fenti fodi hapa.....

Sawa hatuna vigezo vya kuolewa
 
Nimekupa Like kubwa kwa sababu umeandika wazo kubwa. Ila umeshindwa kulielezea vizuri. Ila umeeleweka sana na ujumbe umewafikia walengwa.
Kwa hiyo walengwa waendelee kutoa mapovu au wasubiri hadi jamaa afanye editing ya uzi wake ?
 
Kumbe na wewe umeona kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hea hostegi chiiiiiiiiiiiii

Yeye anasema yupo sawa 😂😂😂
 
Yule akipigwa msasa na ras ananyoosha lugha manake tatizo lake kubwa ni your na you are
Ila huyu sijui itakuwaje
You are na your zinawachanganya wengi sijui ni ushamba au ujinga wa lugha
 
Back
Top Bottom