Eti kwa nini miguu inanuka........................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti kwa nini miguu inanuka........................

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Magulumangu, Dec 23, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nikiwa nimekaa nikifikiria jinsi gani life nitaliwin, ghafla vitoto viwili vikawa vinaongea...mdogo kamwuliza mkubwa, eti kwa nini miguu hunuka? mkubwa kasema nani kakuuliza, mdogo kasema ni yule kaka ake na fulani....mdogo nambie basi nimjibuje? Mkubwa kaskuti mwishowe akaona hii karaha nisipojibu...KAMWAMBIE KWA SABABU INATOKA MKUND*NI...mie mbavu sina......wewe ungejibuje?
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Dah hii kali.
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mkuu wewe ulifikiria jibu gani hapo?
   
 4. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  I dont know mayb it's because being dark and sweaty with more than 250000 sweat glands it attracts millions of bacterias which are on ur skin,as the bacteria feed on the sweat they produce by products which stink and they are the ones u smell when u take of the shoe.I would have told him something like that.
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu mtoto wa miaka kama sita mpaka kumi hilo atalijulia wapi kaka?
   
Loading...