unawah tauloKwa mfano umetoka nje ukiwa umevaa taulo na umembeba mtoto, nje wapo wakwe zako na majirani.. ukaanza kucheza na mtoto kwa kumrusha juu na kumdaka, ghafla ukamrusha na taulo likafunguka. je utawah kipi? Mtoto au taulo?
hahahaaaa,bora lawama kasaloo,vuta picha unapoinama kuokota taulo halafu umewapa mgongo wakwe!hahaha sawa ila kumbua kituo kidogo chapolis kitakuhitaji!! Nelson
chukulia ndo imetokea