Eti kuna jamaa kachafua mboga iringa?

Serikali ipime nguruwe wote ili kujua kama wanamaambukizi
 
Tatizo wanahofia huyu jamaa ni mswati kwamba ana uhusiano na nguruwe wengi.

Kwani anauhusiano na nguruwe wa mkoa mzima? Si wangezuia tu nguruwe wake wa watu wengine waruhusiwe kuwa biashara? Maana mimi nina safari ya Iringa nishaona bila mboga hiyo kukaa kwangu Iringa kutakuwa kugumu sana. Ila kutokana na sheria ya Makosa ya Jinai Sura ya 16 kufanya ngono na mnyama ni kosa la jinai.
 
Nimesikia kwamba mkoani iringa kwa takribani mwezi mmoja kitimoto imepigwa marufuku kuuzwa. Sababu inatajwa kuwa ni kutokana na jamaa mmoja alikutwa akimbaka nguruwe bandani.

Mpaka sasa haijulikani ni nguruwe wangapi aliowatenda ubaya huo. Serikali imeamua kupiga marufuku matumizi ya kitimoto kwa kuhofia kwamba huenda yule jamaa atakuwa kawaambukiza magonjwa mbali mbali hao wanyama.

si kweli kuna ugonjwa wa nguruwe umeingia hapo Ir ndo maana wamepiga marufuku wakuu mimi nipo hapa toka juzi
 
Back
Top Bottom