pole sana mkuu, mi naona siku ingine piga pombe mpaka ujinga ukutoke.
Hahahahahaha, wewe ni zaidi ya mke wake!Walifunga ngapi ngapi?
Hahahahahaha, wewe ni zaidi ya mke wake!
Nipo nipo tu, siku hizi I feel a bit low, sijui kwa niniwaongo hawa wanasingizia mpira,, umeshindaje lakini kipenzi?
Nipo nipo tu, siku hizi I feel a bit low, sijui kwa nini
wewe je? mzima? dagaa zangu bado zipo?
Hahahaha, udenda unanitoka mwenzio! ngoja nifanye mpango nije weekend!yeah dagaa zipo diaa na leo mchana nimekula ugali dagaa,jamani unakuja lini sasa?
Shikamoo Kaby!yeah dagaa zipo diaa na leo mchana nimekula ugali dagaa,jamani unakuja lini sasa?
Shikamoo Kaby!
Hahahaha, ana lake jambo huyu!
Hahahaha, udenda unanitoka mwenzio! ngoja nifanye mpango nije weekend!
Ngoja kwanza nikupe hii story umenikumbusha:
Kuna wanafunzi wa4 waliji-enjoy kama wazim the entire weekend
Fika monday wote walikua na hangover, wakaamua kutoenda shule
Kumbe mwalimu alipanga mtihani na ukafanyika, wakapewa ziro
wakapanga kumdanganya mwalim kua walipata pancha highway
na walipo maliza kurekebisha masaa yalikua yamesha pita
mwalimu akakubali kurudia mtihani wa wanne hao,
akawaweka separate rooms, kila mtu na paper yake, swali moja tu:
Ni tairi ipi ilio pata pancha highway?
Shikamoo Kaby!
Marahaba mtoto mzuri, hujambo?
Hahahaha! Hapa lazima wote wapate zero lol. Wanajifanya wana akili kumzidi mwalimu... Tehe tehe!Hahahaha, udenda unanitoka mwenzio! ngoja nifanye mpango nije weekend!