Eti kimasai sio kibantu?

Anheuser

Anheuser

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
1,960
Likes
54
Points
145
Anheuser

Anheuser

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
1,960 54 145
Mpwa unataka kutafuniwa kila kitu bana?:yawn:
Mjomba, kama umesoma vitabu kumi kuhusu Ubantu na sio-Ubantu na umetuwekea listi reeefu la mavitabu unashindwa nini kueleza kifupi tu, sentensi mbili, hao wazungu wamesema tofauti ya Mbantu na Mmasai ni nini?
 
Wambugani

Wambugani

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2007
Messages
1,758
Likes
52
Points
145
Wambugani

Wambugani

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2007
1,758 52 145
Mjomba, kama umesoma vitabu kumi kuhusu Ubantu na sio-Ubantu na umetuwekea listi reeefu la mavitabu unashindwa nini kueleza kifupi tu, sentensi mbili, hao wazungu wamesema tofauti ya Mbantu na Mmasai ni nini?

Tofauti ipo katika wajihi na lafudhi yao.
 
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,248
Likes
341
Points
180
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,248 341 180
i beg to differ,..they are not bantu speaking people.
you are very wrong wachaga ni pure bantu. I have many books kuthibitisha hilo but kwa kukusaidia read this;

Chaga people - Wikipedia, the free encyclopedia

The Chaga (also called Wachaga, Chagga, Jagga, Dschagga, Waschagga, or Wachagga) are Bantu-speaking indigenous Africans and the third largest ethnic group in Tanzania. They live on the southern and eastern slopes of Mount Kilimanjaro and Mount Meru, as well as in the Moshi area. Their relative wealth comes from not only the favorable climate of the area, but also from successful agricultural methods which include extensive irrigation systems and continuous fertilization practiced for thousands of years. They were one of the first tribes in the area to convert to Christianity. This may have given them an economic advantage over other ethnic groups, as they had better access to education and health care as Christians.
The Chagga descend from various Bantu groups who migrated from the rest of Africa into the foothills of Kilimanjaro. While the Chagga are Bantu-speakers, they do not speak a single language but rather a number of related Chagga dialects. These dialects are related to Kamba, which is spoken in northeast Kenya, and to other languages spoken in the east such as Dabida and Pokomo. The Chagga area is traditionally divided into a number of chiefdoms. The Chagga are culturally related to the Pare, Taveta and Teita peoples. They follow a patrilineal system of descent and inheritance. The Chagga subsist primarily by agriculture, using irrigation on terraced fields and oxen manure. Although bananas are their staple food, they also cultivate various crops including yams, beans, and maize. In agricultural exports, the Chagga are best known for their Arabica coffee, which is exported to American and European markets, resulting in coffee being a primary cash crop.
 
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,248
Likes
341
Points
180
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,248 341 180
you are very wrong wachaga ni pure bantu. read this;

Chaga people - Wikipedia, the free encyclopedia

The Chaga (also called Wachaga, Chagga, Jagga, Dschagga, Waschagga, or Wachagga) are Bantu-speaking indigenous Africans and the third largest ethnic group in Tanzania. They live on the southern and eastern slopes of Mount Kilimanjaro and Mount Meru, as well as in the Moshi area. Their relative wealth comes from not only the favorable climate of the area, but also from successful agricultural methods which include extensive irrigation systems and continuous fertilization practiced for thousands of years. They were one of the first tribes in the area to convert to Christianity. This may have given them an economic advantage over other ethnic groups, as they had better access to education and health care as Christians.
 
K

Kilembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2009
Messages
1,135
Likes
53
Points
145
K

Kilembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2009
1,135 53 145
Kwa hiyo hao Wazungu wamesema tofauti ya Mmasai na Mbantu ni nini?
Origin zao wakati wamaasai wanasemekana kutoka North Africa wabantu asili yao ni West Africa!
 
Roulette

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Messages
5,614
Likes
33
Points
0
Roulette

Roulette

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2010
5,614 33 0
Origin zao wakati wamaasai wanasemekana kutoka North Africa wabantu asili yao ni West Africa!
Hata period ya hizo migrations ni tofauti. asili ya wamasi ni nimadic na wafugaji. bantu ni sedentaries na wakulima
 
Anheuser

Anheuser

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
1,960
Likes
54
Points
145
Anheuser

Anheuser

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
1,960 54 145
Tofauti ipo katika wajihi na lafudhi yao.
Kwa hiyo Wabantu wa Kimakonde na Wabantu wa Kichagga wajihi wao na lafudhi yao sawa?

Origin zao wakati wamaasai wanasemekana kutoka North Africa wabantu asili yao ni West Africa!
Afrika Magharibi?

Inasemekana, tena sio inasemekana, tumechimbua mifupa ya Waafrika walioishi kwenye bonde la ufa la Afrika Mashariki kabla mtu hajatia mguu kwenye msitu wa Afrika Magharibi, sasa Mzungu kasema Mchagga alikuwepo Afrika Magharibi lini na alienda lini na akarudi Kilimanjaro lini, na asili yake ni alikoendea au alikorudia?

N

Nanu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
1,224
Likes
9
Points
135
N

Nanu

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
1,224 9 135
Kimasai siyo kibantu. Ni "nilotics"
 
CAMARADERIE

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
4,430
Likes
169
Points
160
CAMARADERIE

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
4,430 169 160
Mmasai na mbantu wakizaa mtoto atakuwa nini?
 
CAMARADERIE

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
4,430
Likes
169
Points
160
CAMARADERIE

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
4,430 169 160
Kwa hiyo Wabantu wa Kimakonde na Wabantu wa Kichagga wajihi wao na lafudhi yao sawa?

Afrika Magharibi?

Inasemekana, tena sio inasemekana, tumechimbua mifupa ya Waafrika walioishi kwenye bonde la ufa la Afrika Mashariki kabla mtu hajatia mguu kwenye msitu wa Afrika Magharibi, sasa Mzungu kasema Mchagga alikuwepo Afrika Magharibi lini na alienda lini na akarudi Kilimanjaro lini, na asili yake ni alikoendea au alikorudia?

Huu mchoro waweza kusaidia

Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,248
Likes
341
Points
180
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,248 341 180
Kwa hiyo Wabantu wa Kimakonde na Wabantu wa Kichagga wajihi wao na lafudhi yao sawa?

Afrika Magharibi?

Inasemekana, tena sio inasemekana, tumechimbua mifupa ya Waafrika walioishi kwenye bonde la ufa la Afrika Mashariki kabla mtu hajatia mguu kwenye msitu wa Afrika Magharibi, sasa Mzungu kasema Mchagga alikuwepo Afrika Magharibi lini na alienda lini na akarudi Kilimanjaro lini, na asili yake ni alikoendea au alikorudia?

hiyo mifupa unayoota nayo kuwa ni ya wachagga si wachagga, hiyo ni another breed ya wale watu waliokutwa na wabantu ambao kizazi chao kiliuliwa, na hao ni mojawapo ya wale walioishi dodoma-kondoa irangi na kuacha michoro mapangoni. Ni jamii za watu walioishi mapangoni. in grouping kiingereza kinawaita Bushmen au kwa kiswahili cha zamani Watukoko. na hawa kabla ya migration ya wabantu (including chaggas) ndiyo walikuwa inhabitans wa ardhi tunayoishi leo. Si wote waliokufa lakini ancient history inasema kuwa walikuwa watu wafupi mbilikimo wengine waliuawa, wangine wakachangamana na wabantu na kuoana na kizazi chao cha watu wafupi kikapotea (kama watwa wa rwanda na Burundi ambao ni watu wafupi wamepotea potea kutokana na kuzaana na wahutu). Watukoko (busmen na mbilikimo) ni kama wale walio east congo na southern africa na kwa tz ya leo, watu hawa waliishi maeneo ya kati mwa tanzania mpaka kaskazini yaani dodoma, singida mpaka north- arusha, kilimanjaro na tanga, kwa kusini magharibi waliishi mkoa wa rukwa sana na breed ya kwanza ya wabantu wakiongozwa na kiongozi wao waliyemwita Ntatakwa, mbilikimo wale waliwaogopa wabantu wakatawanyika, baadhi yao wakakimbilia misitu ya mashariki ya congo ambako wapo mpaka leo .

usijidanganye kabisa kuwa eti wachagga si wabantu, kwanza kwa asili mchagga halisi wa pale ni wa kiraeni/kishumundu-old moshi wengine ni makabila wahamiaji kutoka makabila mengine yaliyohamia around kilimanjaro mt na kutengezeza dialect, ndiyo maana hata wajihi/haiba wengine ni kama wapare, wengine kama wameru etc na hata lugha za wachagga ni tofauti, hawasikilizani kabisa. mchagga wa rombo hasikilizani na kiboso, so is machame, marangu etc

na kama swali ni lini walikwenda west africa na kurudi kilimanjaro, kwa nini usiulize wanyamwezi lini walikwenda west africa na kurudi tabora?

Ikiwa unapingana na ukweli kuwa wachagga ni wabantu, basi wachagga ni watukoko-the bushmen! not otherwise as you wish!
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,016
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,016 280
Tofauti ipo katika wajihi na lafudhi yao.
na asili pia, hilo ndo la muhimu. hamites wanaoriginate north afrika na kwenye pembe ya afrika, wabantu walitokea afrika magharibi. kwenye list ya wasio wabantu kuna wajaluo pia! sifa ya lugha za kibantu ni kuwa zina muundo wa sentensi unaofanana, msamiati wa msingi unaofanana na muundo sawia wa kitenzi. zisizo za kibantu zinatofautiana kote humo.
 
Leonard Robert

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
9,489
Likes
2,879
Points
280
Age
29
Leonard Robert

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
9,489 2,879 280
Hivi kumbe mi si m Bantu duhhhh
hivi wewe ni mu iraq au m mburu maana nyie hamkawii kujiita hivo.umenikumbusha luxmanda na dareda bus..saitaaaa!
 
Forum statistics

Threads 1,262,829
Members 485,712
Posts 30,133,729