Mkuu according to
wahuni 6: 13 -19 hadi hapo game liko upande wako,, lazima tuchukue kombe.
kwanza, Huyo Demu hajakasirika kama unavyojiaminisha.. huyo ni anatafuta validation, acceptance
Carlos The Jackal alishazungumzia hili..
Pili,
katika kosa utakalofanya ni kuanza kumpigia simu kila siku,, hili kosa usifanye,, narudia tena usipige simu kama anavotaka.. mchezo utahamia upande wake.
Tatu: Arrange meetings, then huko mkiwa meeting make sure umepiga hata kiss au muite majina ya wapenzi au umeshika tako na la msingi kuliko yote fanya try & error ya kula mzigo,, akileta pozi disccusion ihamie kwenye kula mzigo na sio mitongozo.
Jitahidi kuwa straight kadri ya uwezo wako.
Usimpe attention yako katika kiwango anachotaka,,, make sure always uko chini ya kiwango anachotaka.
Huu ni ushauri tu sio Sheria
Thank me later.