Eti jirani zetu Rwanda wamo katika nchi 5 zinazoongoza kwa Kukosa furaha

pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
4,584
2,946
The World Hapinness Report imeitangaza Finland kama nchi inayoongoza kwa watu wake kuwa na furaha mwaka huu.

Baadhi ya vigezo walivyotumia ni huduma za kijamii, uhuru binafsi, GDP na kiwango cha rushwa.

Kwa mujibu wao nchi tano zinazoongoza kwa kukosa furaha ni Afghanistan, Lesotho, Botswana, Rwanda na Zimbabwe.

Source:
BBC News - Finland ranked happiest country in the world - again

Imenishangaza sana Rwanda kuwamo katika nafasi hiyo!
 
Nchi za ki dictator zitakuwaJe na furaha ?.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom