Eti, jina langu gumu nitafute jina mbadala

Eti, jina langu gumu nitafute jina mbadala

Hapa Vancouver, Canada sasa hivi ni 22:32 24th of February 2014. Nipo kitandani nimelala.

Kwani nimekuuliza wewe mkuu wangu? Ila vyema nilikuwa natafuta sana mdau wa Canada, ntakuchek pm
 
Umelala au umejilaza?

A sleeping man cannot do anything!

Hapa Vancouver, Canada sasa hivi ni 22:32 24th of February 2014. Nipo kitandani nimelala.
 
jina gumu sana ungejiita BenKolongo ingependeza
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi wadau! Nimepokea pm kutoka kwa mtu fulani humu ndani akidai kuwa username yangu ni ngumu kutamka na kwamba nitafute jina mbadala. Kwa heshima ya JF namuhifadhi,lakini swali ni kuwa anayeamua kuwa na jina jepesi au gumu ni nani kama si hiyari ya mtumiaji?Na je kusema hili jina ni gumu kwani hawapo wengine humu?Benokolongokonongose.

Yani username yako bora nihifazi namba za simu za watu kumi itachukua muda mfupi
 
Back
Top Bottom