Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 53
Habari za asubuhi wadau! Nimepokea pm kutoka kwa mtu fulani humu ndani akidai kuwa username yangu ni ngumu kutamka na kwamba nitafute jina mbadala. Kwa heshima ya JF namuhifadhi,lakini swali ni kuwa anayeamua kuwa na jina jepesi au gumu ni nani kama si hiyari ya mtumiaji?Na je kusema hili jina ni gumu kwani hawapo wengine humu?Benokolongokonongose.