Eti jamani nani mkali zaidi ya mwenzie

Eti jamani nani mkali zaidi ya mwenzie

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
MALLATA alipeleka gari lake kwa fundi lipakwe rangi!
FUNDI:lipakwe rangi gani?
MALLATA:yeyote isipokuwa nyekundu, nyeupe, bluu, njano, kijani wardi, nyeus, chocketi, kijivujivu, maziwa, zambarau, orange na nyingi nyengnezo akazitaja!
Lini nije kulichukua gari langu?

FUNDI:Njoo cku yoyote icpokuwa Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamis Ijumaa, J'mosi wala jumapili!
 
huyo fundi hakuwa na nia ya kumsaidia hyo jamaa akukataliae akuambii ctaki
 
Back
Top Bottom