Eti Jamani, hii ni aje?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Jamani, hii ni aje?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boreless, Jan 8, 2010.

 1. B

  Boreless Member

  #1
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE.

  "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO"

  Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli?

  Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono...
  Huyu lazima achukuliwe hatua.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mie heading yenyewe hata siielewi ya hao chekechea
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  yupi sas steve nyerere au OUR FATHER OF NATION

  nini uhusiano wao na sisimizi na unyama pori?????????
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hili swala halikuhitaji thread.ulipaswa kugonga batani ya [​IMG] then unaeleza kutoridhika kwako kwa mods wanakusaidia
   
 6. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Please siyo Nyerere ni NYENYERE, see the difference!
   
 7. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kichwa kimeandikwa NYENYERE si NYERERE, Nyenyere ni jamii ya wadudu! acheni analysis za chekechea
   
 8. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Agh! hilo nalo kitu cha kulia lia umezoea kulia ...uhuru ndugu...by the way what is nyerere? that dude is a big failure.
   
Loading...