Eti huyu dada Unaibu Waziri wa Fedha kapewa kwa kujuana ndio maana hawezi kujibu hata maswali ya Wabunge?

Tatizo ni anxiety ya public speech, haina uhusiano na 'usomi' wake,ndio maana mbunge Msukuma yeye pamoja na kutokua msomi bado ana confidence ya kuongea ilhali huyu hawezi, nachotaka kusema ishu sio usomi ni confidence/Anxiety.
Upo vizuri sana kichwani
 
Tatizo ni anxiety ya public speech, haina uhusiano na 'usomi' wake,ndio maana mbunge Msukuma yeye pamoja na kutokua msomi bado ana confidence ya kuongea ilhali huyu hawezi, nachotaka kusema ishu sio usomi ni confidence/Anxiety.
Sasa Msomi gani hana confidence, inamaana Elimu yake bado haijamjenga Vizuri!!
 
Mama mjinga sana, anajijuwa yeye kilaza sasa siangejifanya anaumwa siku ya maswali na majibu kifua kidogo wakati akiendelea kufanya mazoezi chumbani ya kusoma. Maana majibu yenyewe anasoma kishaandikiwa na kusoma hawezi. Hizi tamthilia za maswali ya hapo kwa hapo na nyongeza uwongo mtupu kama ni swali la hapohapo na nyongeza kapata muda gani wa kuandika majibu? yaani swali umeshajuwa likitoka hili litaulizwa hili majibu umeandikiwa bado ume fail mtihani. aibuuuu. Leo ndio wameumbuka na bunge hakuna kitu maswali ya hapohapo wala ya nyongeza rehearsal imeshafanywa kama drama tu. huko UK ndio watu wanapigwa swali hapohapo.
 
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie

Duh aise sijaridhika kabisa na majibu ya naibu waziri
 
Nimeshindwa kumsikiliza mpaka mwisho maana naona aibu Mimi.
Hivi huyu jpm na ccm yake wanatutafuta maneno nchi hii? Mbona huku ni kudharauliana? Tena mtu kama huyu wizara ya fedha? Wizara ambayo ndio engine ya uchumi na maisha yetu?
Ndio maana unakuta issue za wizara fulani lakini anaeenda front ni Kabudi. Huyu hawezi kukaa meza moja na wazee wa IMF au World bank
 
Apewe kazi nyingine huko wizarani kama ni wa muhimu hivyo,sio lazima awe naibu waziri

Back
Top Bottom