Eti huwezi kufikisha kiasi cha milioni 30 bila kijihusisha na uchawi/shiriki Tanzania

Niende kwenye mada

Leo mtaani kulikuwa na ubishi mkubwa, mimi nipo peke yangu, wenzangu kama 5.

Ipo hivi: Jamaa wanasema hapa Tanzania huwezi kumiliki/kufikisha 30M bila kujihusisha na ushirikina/ulozi, yaani kivyovyote vile ili kugusa hicho kiasi kwenda juu ni lazima uwe umejihusisha kivyovyote vile na shirki. Mie ukweli nilikuwa napinga sana.

Hii ipoje?

Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
Umezungukwa na masikini...... hiyo pesa ya dili 1 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHENI UONGO
kwa sasa na kuingia 2020 hakuna anayemiliki 10M akaiweka Benki yeyote bila Serikali kujua
unatakiwa utoe maelezo ya kutosha na km huTAKATISHI pesa je Kodi unalipa
jana tu Magoti na wenzake waliingiza 17M mwaka huu wamekamatwa na wapo ndani mpaka 20/Jan
ni Biashra gani hiyo ya kuingiza 30M mpaka BN
TUELEWESHANE TU
km ni mabucha ya mifugo au chinga au magogo tuweni wazi na sisi tukafanye, maana Ngada huwezi ingiza hata 10M
Kama hichi ulichokiandika ni sahihi, basi udikteta upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hichi ulichokiandika ni sahihi, basi udikteta upo

Sent using Jamii Forums mobile app
sana Mkuu yaani umeingia kwenye Mabenki yote
upo TRA wanalist ya wenye uwezo kifedha, ukiibuka tu leo umeuza shamba au umepata almasi kuna form za kujieleza, la sivyo kuna kitengo, kitazuia malipo yako km yanazidi 10M
upo mpaka kwenye Taasisi za Mikopo (mikopo haitoki mpaka uwe na Biashara inayoelewa na uweke Leseni) na hapo ukifanya mchezo mkopo mwisho 1M tu sasa tunaomesha
ukitaka kuepuka kaa nazo nyumbani, na usinunue Ardhi, nyumba, au Magari yenye idadi utahojiwa tu
 
Back
Top Bottom