Eti Honey Wangu Ananijali!....

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habari,

hope mu~wazima!!,..
" Honey Wangu Ananijali".. Hiyo sentensi fupi tamu ila ina utata,kuna wengne wengi hasa wanaume hawaielewi!!

hivi wadada,unaposema hubby au mpenzi/baby wako anakujali unamaanisha nini?!..au ni sababu gani inakufanya uone anakujali? ..na vilevile wakaka mnapoona kuwa mnawajali wenzi wenu huwa mnawafanyia nini mpaka mnaona kweli mnawajali?!

je ni pesa?! au mapenzi tu?au kuna kingine?!..

usiku mwema.
 
mmh, mapenzi ya siku hizi yana fomula nyiingi.
 
Mwanamke anahitaji kufarijiwa kama ilivo ada, anahitaji kupendwa na kuthaminiwa lakini bila kusahau kuheshimiwa pia.
Kwa mwanaume ukishafanya hayo ndo lazima yaambatane na kumhudumia kipesa na vingine kama kuheshim hisia zake za mwili na moyo ikiwa ni pamoja na kumfikisha mlima kilimanjaro kunako sita kwa sita
maana mwanamke ni pambo hivo lazima afanyiwe hayo.
 
Mapenzi hayana formular mkuu..... ila kila mtu ananamna yake ya kuonyesha kuwa unamjali
 

Umesema vizuri sana
 

nimekupenda bure jaman.
 
nikimpa hela... au tukienda salon nikamsubiri asuke ule wa bei kali kuliko yote afu nikamlipia...
au nikimfungulia biashara kubwa immalizie matatizo yake ya kuomba hadi za vocha au nguo.. hapo ndo hua najisikia kama nime-care
 

Swali lako limenikumbusha swali hili:

Caring is sharing or is it sharing is caring?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…