Eti hizi UPT zipo za kichina....?

hahahahahah Bro umeshatupia hapo acha kuilaumu machine hahahahaha......

Hamnaga za kichina hizo mambo, so hapo ni kujipanga tu, kamsimulie Mama Ngina taraaaatibu
 
Mtambuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ushaharibu mara hii jamani? Kijana kafikisha hata mwaka kweli? Chinekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BADILI TABIA ndio kwanza katimiza miezi minne juzi, si balaa hili.........

Mie nahisi ni feki, hakisemi kweli, kwani hujui bidhaa za kichina zilivyo.......
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah Bro umeshatupia hapo acha kuilaumu machine hahahahaha......

Hamnaga za kichina hizo mambo, so hapo ni kujipanga tu, kamsimulie Mama Ngina taraaaatibu
huo utani wako sio mzuri, wewe unazidi kunichanganya hapa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…