Hahahahah hapo mzigo unaonekana kama 300M ila report ikija utaskia ni 150M zimekamatwa.huyo afande anazimezea mate hapo lazima atoke na hata ka milioni 😂
hauta kimbilia kuoa mwanamke mwenye matako makubwa kweli 😂😂Sasa nikizipata hizi si nakuwa nakula elf 10 kila siku mpaka miaka 100 bado zipo tu.
Ukila elfu 10 kila siku ni sawa na 3,650,000 kwa siku 365 ambazo zinakamiliasha mwaka mmoja!Sasa nikizipata hizi si nakuwa nakula elf 10 kila siku mpaka miaka 100 bado zipo tu.
Hawa wahuni wana igiza kupotezea mashahidi kukimbia mahakamaMaigizo tu kama yalivyo maigizo mengine ya serikali ya tz a.k.a tozo
ndo zao hawa jamaa, hata hvyo walishapewa go ahead ya kula urefu wa kambaHahahahah hapo mzigo unaonekana kama 300M ila report ikija utaskia ni 150M zimekamatwa.
Hutakua na matumizi mengine mkuu?Sasa nikizipata hizi si nakuwa nakula elf 10 kila siku mpaka miaka 100 bado zipo tu.
Hela hio lazma cha kwanza utachofikiria ni ndinga na malaya mwenye shepu kali😅 hata wazo la kula hutakuwa nalo sababu hela ni tiba ya njaa!hauta kimbilia kuoa mwanamke mwenye matako makubwa kweli 😂😂
na huyo mwanamke ata mfesa hela zote....aurudie u jobless 🤣Hela hio lazma cha kwanza utachofikiria ni ndinga na malaya mwenye shepu kali😅 hata wazo la kula hutakuwa nalo sababu hela ni tiba ya njaa!
Yani hata leo ukikutana na laki 5 ya ghafla ambayo haikuwa kwenye hesabu utajiskia kushiba mda wote😅 unaweza ukanywa glass ya juisi tu ukalala usingizi mzuri tu.
Kosa hela sasa kmmmk dah! Hata ukila saa 12 still saa 2 usiku njaa itauma tena😂😂😂