Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,676
- 26,140
Watu wanane wauawa na polisi hivi hivi huko Kenya. Halafu jamaa bila haya wanajisifu eti wao ni vinara wa demokrasia. Hata sijui ni demokrasia gani hawa jamaa wanaoiongelea.
Wameshakubali kwamba wamechanganyikiwa hawajui la kufanya
Haya majitu sijui yakoje yaani.Ingetokea marekani ungeona wakenya walivyo kimbelembele kuandamana ila nchini kwao wako kimya