Eti hapa nilikosea nini?

Eti hapa nilikosea nini?

Shida ulidate na mdangaji, ukamtreat mdangaji kama wife to be.

Hao,fanya kama unanunua weka pesa mezani, piga mzigo pita hivi, unajua kabisa atakuja mwenzangu ataweka mzigo mezani atapiga nae atapita.
Hapo hakuna stress,hakuna mawazo ya kuchitiwa.
 
Hiyo ni roho ya kimaskini tu, nimekumbuka kuna kesi tuliikuta polisi jamaa kavunja choo alichomjengea mwanamke kisa wameachana.
 
Tulisha kubaliana mwanamke akikucheat na ukagundua hupaswi kumsamehe hatakidogo kwani kufanya hivyo ni kumpa nafasi ya yeye kurudia kosa kwa uangalifu na tahadhari zaidi.

Umekosa akili na bado umevunja sheria na taratibu za katiba ya wanaume.


Uache kusinzia kwenye vikao tena na uwe unakaa kiti cha mbele kabisa.
 
Kuchukua vitu ulivyompatia sio shida na wala sio ushamba mshamba ni demu mwenyewe, tatizo lilianza mara baada ya kujua anakucheat bado ukaendelea kuwa nae na bado ukataka kuongezea mengne kumuinua ili pengine akitaka kuliwa aliwe akiwa kwenye sehemu nzuri maana kama anauza vilevi nae ni mlevi na ataliwa na walevi wenzake kama ulivyosema kuwa alikuwa anatoka na moja ya wateja wake maisha haya bhn unamfungulia mtu biashara anaolewa na mteja wake ila usiwaze sana hio ni moja ya customer care 😀
 
Tulisha kubaliana mwanamke akikucheat na ukagundua hupaswi kumsamehe hatakidogo kwani kufanya hivyo ni kumpa nafasi ya yeye kurudia kosa kwa uangalifu na tahadhari zaidi.

Umekosa akili na bado umevunja sheria na taratibu za katiba ya wanaume.


Uache kusinzia kwenye vikao tena na uwe unakaa kiti cha mbele kabisa.
Kusinzia kwake kweny vikao tutamtoza faini
 
Mnaacha kusomesha watoto na kuwalisha vzuri wakue kwa afya mnaenda kuzingatia bitches........Karudie tena kwengne Kiongoz
 
Nilikuwa kwenye mahusiano na mdada hivi mtu mzima, kwa miaka kama mitatu. Alikuwa anafanya biashara ya kuuza vilevi. Hiyo biashara ni ya kwake binafsi. Sasa katika mahusiano yetu japo kuna wakati alini cheat nikamgundua, lakini aliniomba msamaha sana yakaisha. Akawa kama amejirudi flani hivi hadi nikaanza kushawishika kama vile kutaka kumpa sapoti kwenye wa biashara yake.

Nikaanza kumuongezea mtaji kidogo kidogo kisha nikaanza kumnunulia vitu vya kuboresha ile sehemu ya biashara yake ili papendeze zaidi (decorations). Palivyoanza kuvutia, wateja wakaanza kujaa kumbe miongongoni mwao mmoja akamshawishi, wakaingia kwenye mahusiano kimya kimya bila mimi kujua kwa kuwa mara nyingi nilikuwa bize sana. Siku nilipokuja kugundua akaingiwa na hofu sana, akadhani nitakuja kumdhuru hivyo akaomba ili awe salama, uhusiano wetu uishie hapo.

Sikuwa na kinyongo, nilimkubalia ila tu nikampa sharti moja tu kwamba anipe vitu vyangu vyote (decorations na viti na meza mpya nilizokuwa nimemnunulia pale kwenye biashara) vilivyokuwa vimechangia kupaboresha pale sehemu ili akibaki, abaki kama nilivyokuwa nimemkuta. Na huyo mtu wake mpya aliyekuwa amempata aweze kumboreshea kama anampenda. Kwa kweli nilivichukua, kasoro pesa ya mtaji niliyokuwa nimemuongezea ndio sikuidai tu, ila cha ajabu huyo mdada akawaka sana, akamsimulia kila mtu kwamba mimi ni mshamba, iweje nimfanyie kitu halafu nimnyang'anye? Binafsi ningeweza kumuachia, isipokuwa roho ikaniuma sana na kunifanya nijiulize kwamba uboreshaji wangu wa pale sehemu kwa pesa zangu mwenyewe ndio umesababisha hayo yote kwa hiyo niondoke tu hivi hivi na kumuachia aendelee kutanua huku mimi nikikung'uta makalio na yeye akiendelea kupigwa 'pipe' na mtu mwingine? Kosa langu hapo ni nini? Kuchukua mali zangu?
Huna baya ishi mpaka uone tamati ya mkataba wa bandari..
 
Hela huwa haionekani kwa macho na ni kama gharama ya service yake kwangu after all itaisha atasahau, ila vile vitu vingine angekuwa akiviona angesema nilimpora fala, hicho ndicho sikutaka
Mkuu songa mbrle achana na hawa wapuuzi humu
 
Back
Top Bottom