Eti hapa nilikosea nini?

Eti hapa nilikosea nini?

Nilikuwa kwenye mahusiano na mdada hivi mtu mzima, kwa miaka kama mitatu. Alikuwa anafanya biashara ya kuuza vilevi. Hiyo biashara ni ya kwake binafsi. Sasa katika mahusiano yetu japo kuna wakati alini cheat nikamgundua, lakini aliniomba msamaha sana yakaisha. Akawa kama amejirudi flani hivi hadi nikaanza kushawishika kama vile kutaka kumpa sapoti kwenye wa biashara yake.

Nikaanza kumuongezea mtaji kidogo kidogo kisha nikaanza kumnunulia vitu vya kuboresha ile sehemu ya biashara yake ili papendeze zaidi (decorations). Palivyoanza kuvutia, wateja wakaanza kujaa kumbe miongongoni mwao mmoja akamshawishi, wakaingia kwenye mahusiano kimya kimya bila mimi kujua kwa kuwa mara nyingi nilikuwa bize sana. Siku nilipokuja kugundua akaingiwa na hofu sana, akadhani nitakuja kumdhuru hivyo akaomba ili awe salama, uhusiano wetu uishie hapo.

Sikuwa na kinyongo, nilimkubalia ila tu nikampa sharti moja tu kwamba anipe vitu vyangu vyote (decorations na viti na meza mpya nilizokuwa nimemnunulia pale kwenye biashara) vilivyokuwa vimechangia kupaboresha pale sehemu ili akibaki, abaki kama nilivyokuwa nimemkuta. Na huyo mtu wake mpya aliyekuwa amempata aweze kumboreshea kama anampenda. Kwa kweli nilivichukua, kasoro pesa ya mtaji niliyokuwa nimemuongezea ndio sikuidai tu, ila cha ajabu huyo mdada akawaka sana, akamsimulia kila mtu kwamba mimi ni mshamba, iweje nimfanyie kitu halafu nimnyang'anye? Binafsi ningeweza kumuachia, isipokuwa roho ikaniuma sana na kunifanya nijiulize kwamba uboreshaji wangu wa pale sehemu kwa pesa zangu mwenyewe ndio umesababisha hayo yote kwa hiyo niondoke tu hivi hivi na kumuachia aendelee kutanua huku mimi nikikung'uta makalio na yeye akiendelea kupigwa 'pipe' na mtu mwingine? Kosa langu hapo ni nini? Kuchukua mali zangu?
Kosa ulilofanya ni kutomnyang'anya mtaji wako, ungechukua hadi mtaji pmj na pesa ya usumbufu.
 
Nilikuwa kwenye mahusiano na mdada hivi mtu mzima, anafanya biashara ya kuuza vilevi.
KOSA LILIANZIA HAPA

Barmaid huwa wanapigwa hit and run

Hao wanawake wauzaji vinywaji vikali ni malaya waliojificha kwenye kivuli cha hiyo biashara ila ukweli ni kuwa wameshauza sana mbususu sasa umri umeenda hawana soko wanajiweka humo kuuza vinywaji na papa

Malaya ni malaya tu hata akistaafu. Hao ni kama kunguru hawafugiki

Pole sana mkuu

 
Sasa katika mahusiano yetu japo kuna wakati alini cheat nikamgundua, lakini aliniomba msamaha sana yakaisha.
Once cheater always a cheater.

Mwanamke msaliti huwa hasamehewi hata alie, apige magoti au ajigalagaze hapo chini

Wanawake wanawatawala wanaume mabwege kwa kutumia silaha 3
(1)Kulia/machozi
(2)Sex
(3)Drama


 
Kosa kubwa ulilolifanya ni kuratarajia chumvi itabadilika na kuwa sukari.
Mwenye asili yake haachi. Mtu akicheat hata akae miaka mingapi akiwa muaminifu ni swala la wakati tu na kutokea kwa mtu sahihi atacheat tena.

Ulipomgundua mara ya kwanza ilitosha kuachana nae kabisa.

Halafu huyo demu hakuwa akikupenda, alikuwa anapenda huduma zako kwake. Mwanamke anaekupenda hasa na akakukosea hata ukimuwekea bunduki ya kichwa bado ataendelea kukuomba msamaha. Sasa huyo kiwepesi tu anakwambia muachane maana anahofia maisha yake.

Kwa kawaida mwanamke hapokonywi zawadi baada ya mahusiano kuisha ila kwa huyo umefanya sahihi kabisa. Muache aongee tu pumbavu zake.

Kama vipi nitumie picha hivyo vitu nimnunulie mchepuko wangu aweke kwenye ofisi yake ya mama ntilie ila nae akizingua nitampokonya tu kama wewe ulivyofanya.
 
Wanaume tunaojielewa huwa tunawaacha wanawake pamoja na vitu tulivyowapatia.
Wewe ulikosea Sana mkuu kumnyang'anya vitu ulivyokuwa umempa.You need to man up and be a gentleman bro.
 
Raha jipe mwenyeeeeweee.....


Hv mwanamke tunavyowamwagia sperms huwa tunadai waturudishie...!!?
 
Huyo umekuta hana akili mwingine anakupa kesi ya kuiba au uvamizi ungejuta na kuja na hadithi nyingine siku nyingine honga kile huwezi kukumbuka na yeye hawezi kumbuka ili usiumie
 
Wanaume tunaojielewa huwa tunawaacha wanawake pamoja na vitu tulivyowapatia.
Wewe ulikosea Sana mkuu kumnyang'anya vitu ulivyokuwa umempa.You need to man up and be a gentleman bro.
Mnajielewa,au mnjigeuza shamba la bibi?
 
Kama ningekuwa ndo mimi siku ya kumuacha ningealika washkaji zangu wale chapombe concord kunywa vinywaji vya bei ya mtaji wangu niliodump hapo then naita guta nakusanya vitu vyangu vyote. Halafu ndo inakuwa mama jeni bye bye!
Huwa silei wanawake wapuuzi dizaini hii!
 
Kosa lako ni kuwekeza kwa mzinzi.
 
Acha ushamba sasa na wewe, yani kitu kina kueleza unataka kushauliwa, daaaah Yan hapo ulitakiwa umdai na pesa ya mtaji uliyomuongezea, yan kila kitu chako akupatie
 
Huna kosa, Ila ulifanya kosa uliporudiana nae alipokusaliti mwanzo
 
Back
Top Bottom