Mtaani watu wanasema faida ya sembe kutoka Pakistani hasa Enzi za mkwere ilifanya pesa iwe nyingi mtaani kuliko kipini Mag akiwa madarakani. Kuzuia safari za ovyovyo, wizi wa mali za uma na hii ya kupambana na Ganda imefanya biashara iwe nguvu.Hivyo wananchi wengi hasa wa mijini wanashauli ruhusu kidogo hiyo biashara ila kwa mahesbu makali ili watu wasizoee.Hii itchangamusha uchumi