Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,316
- 5,331
Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume.
Bongo haiishiwii comedy, infact Bongo ni Bongo Movie.
Vijana wameisha brand magari kama Dualis, Murano, IST, RAV4, etc kama magari ya wanawake.
Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume.
Unakuta mtu anasema "sasa mwanaume ataendashaje IST au Dualis"
Alafu kuna mtu unakuta na yeye anababaika eti anunui gari ambayo ameipenda eti kisa watamsema kuwa anatembelea gari ya kike.
Kupambana na fikra za jamii duni ni ngumu sana, wataanza kuja na sababu mia nne kwa nini mwanaume asitembelee dualis wakati japan wanaume wanazitembelea kama wote.
Jamii ya bongo ni ya kipekee ndugu yanguWabongo wana imani za ajabu sana, nakumbuka miaka ile bongo fleva inaanza kuchomoza kuna wajinga wakiona unasikiliza wabana pua wanakuambia ni mziki wa kike, wanasema mwanaume anasikiliza hip-hop
..Na zaidi pale wanapong'ang'ania ujinga wao.Ogopa Jeshi la Watu wajinga.
Aliyesababisha ni Jinga Bashite!Bongo haiishiwii comedy, infact Bongo ni Bongo Movie.
Vijana wameisha brand magari kama Dualis, Murano, IST, RAV4, etc kama magari ya wanawake.
Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume.
Unakuta mtu anasema "sasa mwanaume ataendashaje IST au Dualis"
Alafu kuna mtu unakuta na yeye anababaika eti anunui gari ambayo ameipenda eti kisa watamsema kuwa anatembelea gari ya kike.
Kupambana na fikra za jamii duni ni ngumu sana, wataanza kuja na sababu mia nne kwa nini mwanaume asitembelee dualis wakati japan wanaume wanazitembelea kama wote.
Kwenye Nchi zetu hizi ambazo hazina magari mtasema haya nenda JHB uone wadada wanasukuma Velar ya 2023 au Landrover ya 2023 sema kukosa choice ya magari mengi mnadhani pana magari special ya jinsia na mnadanganyana hivyo hata wasio na uwezo wanatafuta magari ambayo hawawezi kuyamudu ni nyumbani na mjini anapaki nunua gari kutokana na choice yako na uwezo wako sio kelele za watu..itafika muda hilo gari unalolitaka utatembelea tuu.Acha ujinga.kila nikipita gari ninalotembelea ,ndio naona wadada wanatembelea.hilo gari hata wiki haipiti nauza.Lazima uoneshe utofauti Pumbavu weeee
Kabisa. Mimi ndiyo maana naunga mkono waarabu wa bandari wakazie palepale.Ogopa Jeshi la Watu wajinga.
Hahaha japo sina gari ila passo hata Kwa laki tano sinunui bora nipigie valuerSubaru ni gari ya kiume, ila ukikuta mwanamke anaendesha inaonekana sexy.....
Mwanaume ukiendesha passo unakaa kirembo jamani
Hahahah kwa kweli hahahha. Fikra duni siku zote hutawalwa.Kabisa. Mimi ndiyo maana naunga mkono waarabu wa bandari wakazie palepale.