Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Yaani wewe mtu mbona una akili namna hiyo? Mtu azaliwe namtumbo kijijini hata kuitamka tu neno supermarket hajui leo anajidai mtoto wa mjini tena class 1.Visista duu uchwara hivo utakuta huko super market vimeanza kuingia tayari vishaanza kuvaa bra
Kuna kengine juzi juzi kananiambia hakalagi ugali wakati enzi hizo tunasoma, nishaenda kwao tukagonga ugali dagaa tena dagaa za mchuzi, ule mchuzi wa kuloeka vidole kabisa vidagaa vinaogelea mfyuuu.
Kidem cha hivo ni cha kupunguzia nyege tu usije ukaoa
Visista duu uchwara hivo utakuta huko super market vimeanza kuingia tayari vishaanza kuvaa bra
Kuna kengine juzi juzi kananiambia hakalagi ugali wakati enzi hizo tunasoma, nishaenda kwao tukagonga ugali dagaa tena dagaa za mchuzi, ule mchuzi wa kuloeka vidole kabisa vidagaa vinaogelea mfyuuu.
Kidem cha hivo ni cha kupunguzia nyege tu usije ukaoa
Upo sahihi sn mkuuYour First impression is the last impression..1st date ukijiweka kipredeshee aaaah..lazma akufanyie sinema. Just be you..kawaida yaani. It won't cost you. Japokuwa,kuna wanawake nao wanapenda sana show off za kijinga. ..
Sasa tatizo nini? Si uwe unampeleka huko supermarket....na wewe ulivyoleta hii mada unaongea as if supermarket ni big deal saaana!Habari zenu wanajamii forums
Kuna binti mmoja hivi ninaye ila yeye tatizo lake anapenda mnapotaka kwenda kufanya manunuzi ya vitu anapendelea sana Supermarket yaani ukitaka ukosane naye muende kwenye masoko ya kawaida kununua bidhaa kama matunda au mbogamboga yeye anataka supermarket anasema eti supermarket ni sehemu safi tofauti na sokoni kuna changanyikeni wengi yaani nataka hata niachane naye.....vile vile nimeona wasichana wengi ukimzoesha kwenda naye supermarket ndio anafurahi eti una care badilikeni nyie wakina dada acheni kuigiza
N.b-Tusijenge chuki kwenye huu uzi ni yale ambayo nayaona na kukutana nayo
Sasa tatizo nini? Si uwe unampeleka huko supermarket....na wewe ulivyoleta hii mada unaongea as if supermarket ni big deal saaana!
Duh Eve respect kwako unakuta kamtu kameputia shidaaa af kakipatia life la afadhal kdogo unakta vinyodo kibaoooo kumbe.....Visista duu uchwara hivo utakuta huko super market vimeanza kuingia tayari vishaanza kuvaa bra