Eti ananitishia ushirikina

Nyani Ngabu wamekufanya nini tena nephew....

niuzie kesi

Acha tu mpwa!

Ukiwa na akili ndogo halafu hujijui kuwa una akili ndogo ni majanga 2.0.

Lakini pia, kama una akili ndogo utajuaje kuwa akili zako ni ndogo?

Manake kujua kiwango cha akili ulicho nacho nayo yahitaji akili za kutosha.
 
Kasema nao...! Naona kuna walengwa wake humu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


Aisee Ngabu hataki mchezo na harembeshi.

Itabidi umtafutie kinga asije rogwa, coz si kwa hili darasa asee!
 
SAUT nacho chuo unataja?? Ninao wa2 hapa ofisini vizembe vizembe , k ingine kidemu kihuni n mizinga balaa
 
JF inogile..
Kwanza walianza kumpiga mizinga siku ya kwanza tu....then akagundua ni mizigo kichwani weupe....sasa kali kuliko zote wanatishia kumroga awe zuzu asirudi hata kwenye box lake huko USA baby!!!

Nyani Ngabu hawa kuku wa kienyeji tuachie wenyewe tunawamudu....jioni anarudi bandani kwanini uhangaike kufukuzana nae au kumpiga manati?
 

Hahahaaa kwa nini unadhani hizo dhahma ni zangu na si za wengine?
 
Nimejikuta nacheka tu....
 

Umepigwa kibuti nn [emoji1][emoji1]
Mapovu hayo si kawaida [emoji36][emoji36]
 

Hahah!, umenchekesha. Eti wampe limbwata mpaka asahau USA baby!

Ngabu is just Ngabu dear, he's so unpredictable.
Mizinga hapigiki.
Ma demu have to have a constructive conversation with him, wakichemsha he tells them off right there and then...

Asishangae sasa siku anaenda date na mdada anarushiwa hirizi halafu mdada anachomoka...lol!
 

Wow....I'm über-impressed Kui.

You can be very perceptive.

I am so predictably unpredictable!

You are so right on the money on that one.

NB: I can't stand dumb chicks.
 
Huyo kidada kweli mwehu tokea lini Nyani akarogwa? Mpatie ndizi tu 😉
 
Umepigwa kibuti nn [emoji1][emoji1]
Mapovu hayo si kawaida [emoji36][emoji36]

Sampuli za CBE haziwezi kunipiga kibuti mimi.

To them I am the greatest thing since sliced bread.

We're talking about levels here now.....remember that.
 
Sampuli za CBE haziwezi kunipiga kibuti mimi.

To them I am the greatest thing since sliced bread.

We're talking about levels here now.....remember that.
True...?! As if you mean it[emoji371] [emoji371] [emoji371]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…