Eti anaipenda harufu yangu.....

Hongera sana mkuu bibi kakolea sana wala usiwe na hofu hilo jambo la kawaida kabisa. kukutoa wasi hatamimi natabia hiyo hupenda sana harufu ya mjukuu wako hapa kinachoongelewa ni harufu ya mtu asilia na sio ya uchafu au majasho na kunawengine huwa wanatatzo la kikwapa hatukusudii hizo Dena Amsi kisha gomba huko hakuna mtu anapenda harufu mbaya. Dena jaribu sikumoja ukiamka asubui koga na usijitie marashi ya mafuta tumia kama bodisprei ya kawaida na nenda zako kazini ukirudi jioni oga usitumie marashi kabisa wala losheni na jaribu kuwa karibu sana na mzee na kama ukitaka kusibitisha jishugulishe kidogo mwili upate joto sikusudii uvuje jasho laa upate joto mwili uchemka ndio hupatikana usilia wa harufu yako yakibinaadam ukimsogelea jamaa walai haishukui dakika tano atakwambia anajiskia uendekumsaidia
 
yawezekana kaipenda harufu na pia yawezekana kaipeleka kwa wachungaji ikaombewe
 
Bibi kaonesha upendo wa dhati kwa babu
siku nyingine bibi akiwa na safari
hakikisha unavaa shati wiki nzima ili
bibi anaposafiri nalo harufu isiishe haraka
na bibi aburudike zaidi.
 
babuuuu
Bibii Penda wewe sana
usiogope sana .. Bibi taka wewe
uwe karibu naye muda wote...
:biggrin1:
 
Hiyo inaitwa andawea koling...you have been notified and warned accordingly.... umekiuka sheria na kanunu mama ya JF- MMU branch.

Duh kila leo naongeza nu vocabulali mie...noted hiyo babu...
 
Babu acha woga......bibi akupenda sana....yale mate ya ugoro yanadondokea kwenye shati anakwenda nusanusa...akuone upo karibu yake
 

acha fix rose! mbona nikitoka kukipiga huwa unanivua jezi yangu halafu unakaakaa nayoo weee. kuifua huifui kuiweka kwenye kapu la taka huiweki we unakaa nayo tu kumbe huwa unafurahia ile harufu!
 
Hahahaha! We kikongwe utaacha lini vituko. Wengine wanabeba vyupi kabisa.
Babu usiogope.
 
mungu nipe na mm ambae hawez kunikosa kama huyu kaka ,,mwenye golden lucky.. una bahati wewe allah akuzidishie,
 

Mama Rwakatare anaumwa kifaduro hivi kweli ataiweza jukumu hili au mganga hajigangi.............................ukiona mtu kakumbatia siasa na kumtumikia kaisari ujue Bwana wa Majeshi hayupo naye........................................


Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?

Anayelogwa ni yule aaminie kuwa aweza kurogwa.......................................kwa kauli yako imekutia kitanzi ya kuwa waamini katika sayansi ya gizani.............lol
 
Babu harufu tena,labda inanukia dunhill desire au givenchy au tsars au 1million
 
Hivyo eh? Ngoja nikamuulize asee!.....Na umri huu kama kitumbo ndi si ndo litakuwa ajabu la mwisho duniani?

MImi mume wangu anapenda sana harudu ya chupi yangu,,, tena nikitoka kuivaaa! Dunia ina mambo hii!!!
Khaaa! Hata kama ndo umetoka kwenye ule unajimu wenu wa kila mwezi?.......Hatarrrr sana hiyo!

BAbu kuna kitu ananusa hapo kinapaisha akili! tuombe mungu iwe ni gagulo la bibi,hatar!
Aiseee! we mtu! Inauma sana asee!
 
Hebu ambia hiyo Dena Amsi...... inaelekea yenyewe inapenda harufu ya Tusker Baridi

yawezekana kaipenda harufu na pia yawezekana kaipeleka kwa wachungaji ikaombewe
Aisee!

Bibi kaonesha upendo wa dhati kwa babu
siku nyingine bibi akiwa na safari
hakikisha unavaa shati wiki nzima ili
bibi anaposafiri nalo harufu isiishe haraka
na bibi aburudike zaidi.
Khaa!

babuuuu
Bibii Penda wewe sana
usiogope sana .. Bibi taka wewe
uwe karibu naye muda wote...
:biggrin1:
Na hilo ndilo Neno la Mungu. Tumshukuru Afrodenzi
 
*Men's sweat: A sweet Aroma to women?*Indeed men's sweat is a sweet aroma to only 1/3 of women. It all depends on the OR7D4 genes.Some women are disgusted by sweaty men; and some care less.No, it has nothing to do with psychology, it is purely physical attraction. Source: A study conducted at cornell university
 
Babu acha woga......bibi akupenda sana....yale mate ya ugoro yanadondokea kwenye shati anakwenda nusanusa...akuone upo karibu yake
Sema HakyaMungu.........

Hahahaha! We kikongwe utaacha lini vituko. Wengine wanabeba vyupi kabisa.
Babu usiogope.
Hahahaha...kwa hiyo anaenda kunusa kifunika kikojolea changu? LOL

mungu nipe na mm ambae hawez kunikosa kama huyu kaka ,,mwenye golden lucky.. una bahati wewe allah akuzidishie,
Mbona tuko wengi........ hebu niPM kwa ajili ya logistics

Baada ya kutafakari harufu yako umegundua kuna mvuto upi?
Hili swali la kwangu au la aliyechukua shati langu?

Yawezekana bibi anataka kukudhalilisha kuzaa uzeeni
Hivi huo na ni mdhalilisho?

Babu harufu tena,labda inanukia dunhill desire au givenchy au tsars au 1million
Akirudi bibi ntamuuliza.

You can say that again and again and again!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…