Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL)
Ni hivi:
Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo halijafuliwa. Namuuliza kulikoni ananiambia anapokuwa mbali nami anapenda anuse shati langu ili aipate harufu yangu nafsi yake itulie. Anaipenda eti.
Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?...Kuna wengine ishawatokea hii? Eti nyie wa jinsia ya kike, huwa mnafanyaga hivyo?....Kama vipi jamani niwahi kwa Kakobe na Mama Rwakatare waniwekee kinga.
Babu anarudi kitandani kutafakari kwa kina.
Na harufu yangu.

Unapenda harufu ya beberu?.........Nalo moja kule Mapinga naweza kukufanyia mpango
sasa ananipenda mimi au shati langu? LOL......... Nami ntaanza kutimka na gagulo lake.
Kwa msisitizo huo......... vile vibaamedi vinavyojishongondoa kwangu leo vikinisogelea navibwenga makwenzi. Babu anaenda kwa bibi fulu fulu. Nimechoka kuchomeka hovyohovyo hiki kikojoleo changu kwenye vitoa mkojo vya wenyewe.babu, ww na shati lako mule mule. anakupenda hadi akiona kivuli chako tu anachanganyikiwa kwa harufu ya kivuli! una bahati babu,kuna wengine wakiskia harufu tu ya wenza wao wanaskia kichefuchefu!
Kwa msisitizo huo......... vile vibaamedi vinavyojishongondoa kwangu leo vikinisogelea navibwenga makwenzi. Babu anaenda kwa bibi fulu fulu. Nimechoka kuchomeka hovyohovyo hiki kikojoleo changu kwenye vitoa mkojo vya wenyewe.
Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL)
Ni hivi:
Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo halijafuliwa. Namuuliza kulikoni ananiambia anapokuwa mbali nami anapenda anuse shati langu ili aipate harufu yangu nafsi yake itulie. Anaipenda eti.
Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?...Kuna wengine ishawatokea hii? Eti nyie wa jinsia ya kike, huwa mnafanyaga hivyo?....Kama vipi jamani niwahi kwa Kakobe na Mama Rwakatare waniwekee kinga.
Babu anarudi kitandani kutafakari kwa kina.
Na harufu yangu.
babu nilijua siku zote kuwa una busara za ziada. acana na hivyo vinuka mkojo,bibi anakupenda. ngoja ntamstua jinsi ya kukuibia mwenyewe manake najua tu unakuwaga na hamu ya kuibiwa ndo maana unaaza uchomekezi!!ngoja ntampa bibi manati (gagulo za kisasa) ili awe anakutega mumo humo![/QUOTEUmeshachelewa............babu kishabadilika.....kisa? Harufu LOL
Ahahaha Misugusugu umewekezaUnapenda harufu ya beberu?.........Nalo moja kule Mapinga naweza kukufanyia mpango
sasa ananipenda mimi au shati langu? LOL......... Nami ntaanza kutimka na gagulo lake.
Aisee!!!!Hiyo inaitwa andawea koling...you have been notified and warned accordingly.... umekiuka sheria na kanunu mama ya JF- MMU branch.
Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL)
Ni hivi:
Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo halijafuliwa. Namuuliza kulikoni ananiambia anapokuwa mbali nami anapenda anuse shati langu ili aipate harufu yangu nafsi yake itulie. Anaipenda eti.
Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?...Kuna wengine ishawatokea hii? Eti nyie wa jinsia ya kike, huwa mnafanyaga hivyo?....Kama vipi jamani niwahi kwa Kakobe na Mama Rwakatare waniwekee kinga.
Babu anarudi kitandani kutafakari kwa kina.
Na harufu yangu.
Hiyo inaitwa andawea koling...you have been notified and warned accordingly.... umekiuka sheria na kanunu mama ya JF- MMU branch.
Aisee!!!!