Eti anaipenda harufu yangu.....

Jamani hayo ndio mapenzi,ila ungemsaidia zaidi upate mchina atengeneze perfume ya hiyo harufu yako anayoipenda ili asihangaike kuwa anatembeana shati lako.Kama fleva ya embe,ndizi,vanilla,chungwa zinaweza kuigwa nafikiri hata hiyo inawezekana
 

LOL,...Chimunguru bana...anaenda ndio nini bana?...dahhh!
 

We jiandae tu kuwa zezeta muda si mrefu
 
Mh!!! Lakini pia nasikia wazoefu wanasema kuwa wengine (men) huvaa under wear za wapenzi au wake zao wanapowamiss au hulazimika kurelux home na under skirt za wake zao au wapenzi wao.



hah dah umenkumbusha kuna baba mmoja ivi zamaaaaaaaaan .alikuwa anaitwa baba koku..ana tumbo kuuuubwa sjui kitamb aya
dah mwanaume yule alikuwa anavaa gagulo la mke wake nakwambia....akiamka asubui kupiga mswak uku kavaa taulo basi kitaulo asi knapeperuka kdg ...kikiperuka tu lazima uone kigagulo cha mke wake mwenyewe hana wasi wasi anaenadelea tu kuswaki chwaaaaaaaa chwaaaaaa...ahh ilikuwa raha kipind icho cha utoto tena wailes pale ahh yaan unafanya kumvizia yeye tu akienda kupiga mswak na weewe unatafuta wwa kwako ili upate burudan asubui ya kumuona mding katinga gagulo!!!!!!
 
haaaaaaaa ..haaaaaa jaman...ayabana.

saidi ndo lake jina
kunkataza kulitamka ni hiyana
sna budi kwalo jina kulinena bila hiyana
Una kesi ya kujibu, haiwezekani nikwambie uniwekee lile gagulo lako kwenye begi na hukuweka!!
Hebu twende chemba kwanza!! kule kwa maxence wa ukwee!! unapajua? fanya fasta!
kakati ya nidhamu inakungoja!
 
mzee, dawa ni kuacha kuoga tu ili wafaidi zaidi ile harufu

aisee


MTM, sasa kutokana na hizi sababu zinazotolewa na dada zetu hapa,
kumbe ndio maana ile midume inayojikojolea kitandani, inapendwa sana,
kumbe ni kile kiharufu lol.......dada zetu wana mambo kweli........
 
Huwa inatokea pia kwa wamama wajawazito, kuna ambao wanapenda kula maembe, ubuyu wengine kunusa nguo za wenzi wao. Ila sidhani kama bibi yetu yuko na hali hii.
 
Ndio inawezekana akawa anaipenda harufu but si kwamba ni full jasho, unajua kila mtu anaharufu yake! ila ma spray ni muhimu!
 
Una kesi ya kujibu, haiwezekani nikwambie uniwekee lile gagulo lako kwenye begi na hukuweka!!
Hebu twende chemba kwanza!! kule kwa maxence wa ukwee!! unapajua? fanya fasta!
kakati ya nidhamu inakungoja!


hahah haha..
nipo tyr kwa mashtaka....
gaguloo
mbona nililiweka jaman..au dg dg alikwiba?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…