Eti amezaa nje kabla ya ndoa anaomba ushauri

Tetramelyz

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
4,372
Reaction score
12,479
Unakuta mtu anakuja kuomba ushauri eti kapata mtoto nje ya ndoa au bado hajaoa/hajaolewa. Hivi unapokuwa unaponda raha unakuwa hujui matokeo yake kama ndo hayo? Mpaka mtu anazaa hadi na mdada wa kazi kwa kipi zaidi alichonacho kumshinda mkeo! Mnawaharibia maisha yao tu.

"The LORD will send on you curses, confusion, and frustration in all that you undertake to do, until you are destroyed and perish quickly on account of the evil of your deeds, because you have forsaken HIM"

Tumwogopeni MUNGU jamani
 
Wanasemaga ati shetani aliwapitiaa...
 
Wengine wanasema bahati mbaya rubii!
 
Last edited by a moderator:
它們不要求進行協商
 
Ukishamuogopa mungu ndio inakuaje, mungu ukimuogopa hawi tena mungu, anakua shetani. mimi simuogopi mungu hata siku moja. mungu ni rafiki yangu nimuogope ili iweje.

Tatizo lenu wanawake kudharau house girl ndio huwa linawagarimu, house girl ni mwanamke kama wewe, unachomzidi ni pesa tu ndio maana umekua boss wake vingine vya kimaumbile humzidi chochote na yawezekana yuko vizuri kuliko wewe na ni mtamu kuliko wewe.

Ma house girl wengine ni wazuri kuliko wake kwa nini usimle na kumzalisha kabisa. House girl ni haki ya baba mwenye nyumba, nabii tito anasema hivyo na hata ibrahim alufanya hivyo.
 
kwanza hakuna mimba za bahati mbaya. Mimba zote ni za makusudi.
 
Ukishamuogopa mungu ndio inakuaje, mungu ukimuogopa hawi tena mungu, anakua shetani. mimi simuogopi mungu hata siku moja. mungu ni rafiki yangu nimuogope ili iweje.
Mbona unakuza mambo? Kama hata hofu ya Mungu hufahamu ni kitu gani...unahitaji shule ya nguvu
Tatizo lenu wanawake kudharau house girl ndio huwa linawagarimu, house girl ni mwanamke kama wewe, unachomzidi ni pesa tu ndio maana umekua boss wake vingine vya kimaumbile humzidi chochote na yawezekana yuko vizuri kuliko wewe na ni mtamu kuliko wewe.

Ma house girl wengine ni wazuri kuliko wake kwa nini usimle na kumzalisha kabisa. House girl ni haki ya baba mwenye nyumba, nabii tito anasema hivyo na hata ibrahim alufanya hivyo.
Sasa huwa mnakuja kulialia hapa ili iweje?
 
Ukishamuogopa mungu ndio inakuaje, mungu ukimuogopa hawi tena mungu, anakua shetani. mimi simuogopi mungu hata siku moja. mungu ni rafiki yangu nimuogope ili iweje.

Tatizo lenu wanawake kudharau house girl ndio huwa linawagarimu, house girl ni mwanamke kama wewe, unachomzidi ni pesa tu ndio maana umekua boss wake vingine vya kimaumbile humzidi chochote na yawezekana yuko vizuri kuliko wewe na ni mtamu kuliko wewe.

Ma house girl wengine ni wazuri kuliko wake kwa nini usimle na kumzalisha kabisa. House girl ni haki ya baba mwenye nyumba, nabii tito anasema hivyo na hata ibrahim alufanya hivyo.
Hahaha Dah
 
Unakuta mtu anakuja kuomba ushauri eti kapata mtoto nje ya ndoa au bado hajaoa/hajaolewa. Hivi unapokuwa unaponda raha unakuwa hujui matokeo yake kama ndo hayo? Mpaka mtu anazaa hadi na mdada wa kazi kwa kipi zaidi alichonacho kumshinda mkeo! Mnawaharibia maisha yao tu.

"The LORD will send on you curses, confusion, and frustration in all that you undertake to do, until you are destroyed and perish quickly on account of the evil of your deeds, because you have forsaken HIM"

Tumwogopeni MUNGU jamani

Acha kumsengenya Dada ako.
 
Ukishamuogopa mungu ndio inakuaje, mungu ukimuogopa hawi tena mungu, anakua shetani. mimi simuogopi mungu hata siku moja. mungu ni rafiki yangu nimuogope ili iweje.

Tatizo lenu wanawake kudharau house girl ndio huwa linawagarimu, house girl ni mwanamke kama wewe, unachomzidi ni pesa tu ndio maana umekua boss wake vingine vya kimaumbile humzidi chochote na yawezekana yuko vizuri kuliko wewe na ni mtamu kuliko wewe.

Ma house girl wengine ni wazuri kuliko wake kwa nini usimle na kumzalisha kabisa. House girl ni haki ya baba mwenye nyumba, nabii tito anasema hivyo na hata ibrahim alufanya hivyo.

Ndio Mungu anaweza kuwa rafiki yako lkn sio kama an ordinary friend
 
Back
Top Bottom