Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
wapo wasiojitambua ndio wana mregard Haille Sellasie kama Mungu ila waliowengi wanaamni kuwa Haille sellasie ni mmoja wa vitukuu vya mfalme Sulleiman na David na hao ndio decendant ya Jesus,kwa hiyo kuna uwezekano pia hata jesus alikuwa blackma,sasa kwa nini wazungu wanatuambia Jesus a white man,they must have corrupted the History,thats why we call them Babylon,we should fire themYaani point yao ni kua hawawezi kua Waislam coz ni dini ya waarabu na waarabu waliwatesa waafrica na hawawezi kua waikristo coz ni dini ya wazungu na wazungu waliwatawala waafrica.... ndio maana wapo kivyao vyao sasa hiyo dini yao ndio ukiisoma kwa undani utagundua kua wanamtukuza Haile Selassie hata katika nyimbo za Bob sikiliza vizuri in deep utaona anavyoaminisha kua Haile ndio Muumba wao..... hapo tu yaani ndio tulipokosana.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
sana mkuu mi huwa nawakubali sana,ndio watu pekee wanaomuunga mkono na kumsappot mtu mweusiAfrica Unite.....
Tungekua na mioyo kama hawa Rastafarians hakika Africa ingepiga hatua sana.... shida utumwa wa fikra umetuharibu, hatupendani, hatuthaminiani, majungu, fitina... mmoja akipata anataka kiwe chake pekee yake badala ya kugawana.... hatujui kubebana wala kuvutana.... kiufupi waliposema wamegundua bara giza wala hawakukosea.
haya maneno siku zota yataishi kwangu.
Emancipate yourself from mental slavery
None but ourselves can free our minds.
I wish one day all Africans tungekua Free Minded.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
wapo wasiojitambua ndio wana mregard Haille Sellasie kama Mungu ila waliowengi wanaamni kuwa Haille sellasie ni mmoja wa vitukuu vya mfalme Sulleiman na David na hao ndio decendant ya Jesus,kwa hiyo kuna uwezekano pia hata jesus alikuwa blackma,sasa kwa nini wazungu wanatuambia Jesus a white man,they must have corrupted the History,thats why we call them Babylon,we should fire them
pia huwa awamuamini kabisa papa,kwakuwa ndio aliwaruhusu akina Benito Mussolin wa Italy kuja kuivamia Ethiopia,the holy land
Yap.... na mimi nawaunga mkono kwasababu wameonesha harakati na bado wanaendelea, japo kibongo bongo bado ila najua watu wataelewa tu.sana mkuu mi huwa nawakubali sana,ndio watu pekee wanaomuunga mkono na kumsappot mtu mweusi
basi huo ndio ukweli,ma rasta tunawaonaga kama hamnazo,ila ni watu wenye fact fikilishi sanaSikujua kama Haille Sellasie ana vinasaba vya Mfalme Suleiman na Daudi aiseee kweli Elimu haina mwisho nitamsoma zaidi..
About Jesus kua ni mweusi nilishasikia sana tu, hata kiuhalisia Jesus sio Mzungu kwa sababu Muyahudi sio Mzungu na sote tunajua Jerusalem imepakana vipi, ni suala la mtu tu kujiongeza.
Papa ndio Makatoliki na wakatoliki hawataki ukweli ujulikane ndio maana Papa aliruhusu Mussolin aivamie Ethiopia yetu jamaniiiii.
Go to Hell Babylons.[emoji34][emoji34][emoji35] [emoji35]
indeed.... wanajua mengi ndio maana hata wazungu hawawagusi wanajua watapewa ukweli wao tu. lolbasi huo ndio ukweli,ma rasta tunawaonaga kama hamnazo,ila ni watu wenye fact fikilishi sana
wanakipengere fulani hivi kinaeleza mambo makubwa ambayo mtu mweusi ameyafanya ila wazungu wanayaficha,aisee its amazing ukisoma
nawakubali sana hawa jamaa,kuna rsta mmoja anajiita Mtabaruka hata youtube yupo,alikataa jina lake la kizungu akaamua kujiita jina hilo la kihaya sijui kiganda,jamaa ni wazalendo kweli kweli,na huwa wanawapa shit sana akina 50cents nk wanaojifanya ni wazungu,huwa wanawaambia kuwa wharever you go Afrika is your real homeindeed.... wanajua mengi ndio maana hata wazungu hawawagusi wanajua watapewa ukweli wao tu. lol